Tanzania kuanza kutengeneza smartphone

Tanzania kuanza kutengeneza smartphone

Hii habari mwanzo nimeisoma heading kutokana na freebasics sikupata access ya kuamgalia hiyo video

Aiaee nilitaka nishangae...Huyu jamaa anazungumzia repair sio ku design brand new phone

Sasa naweza kulala peacefully
 
Matako wee mtoa uzi na waliokutuma hao,kama tu kutwa kucha mnamshitaki mkuu wetu Maxence Melo kisa hajatumia dot-tz kuisajili Jf ndo mtaweza kuleta kiwanda cha smartphone Tz wakati kiwanda cha saruji cha Dangote kule Mtwara mmeshafanya fitna,mnakera Sana nyie wafuasi wa CCM na bwana wenu mnaemsujudia kila kikukicha[emoji34][emoji34]
 
Ngurdoto ilikufa tangu 2017 mkuu, ilibaki kama golf, ni bora hata wamepata akili ya kuweka hostel atilist pataonekana pana uhai
Ngurdoto Hotel aisee, assets (buildings) wanazo sasa sijui Management na Business Manager wa Ngurdoto wamewaza nini mpaka kukubali kuifanya iwe Hostel za wanafunzi kwa gharama ya Tsh. 400,00/- kwa mwaka.
Bora wamiliki wa hii 5-star hotel wangeitangaza upya kibiashara kwa kuifanya iwe tu kama Lodge (guest house) ya bei chee ambayo wangekula Tsh. 12,000/- kwa siku kwa kila chumba kimoja.
Hivyo chumba kimoja tu kingekuwa na uwezo kuingiza karibia Milioni 4 kwa mwaka.
Tsh. 12,000 x siku 365 = Tsh. 4,380,000/- kwa mwaka kwa chumba kimoja.
Sasa sijui wanavyo vyumba vingapi jumla, Hapo makadirio niliyopiga ni ya chumba kimoja tu.
Na kwa hadhi ya brand ya Ngurdoto, kibiashara kwa model hiyo wangefaidika zaidi maana resources muhimu (buildings) wanazo tayari.
Anyway, sijui lengo la wamiliki haswa ni lipi. na pia sijui biashara yao ilikuwa ina-survive kwa mbinu gani
 
Gharama za uendeshaji ni kubwa kuliko return, matokeo yake wakashindwa kabisa maana wateja hakuna
Business manager alishindwa kabisa kuwashauri wamiliki wapunguze matumzi na washushe bei zaidi ili kupata wateja.
Kwa maana kwa Mji kama Arusha, Mji wa Kitalii, Kumiliki Hotel kama ile na kukosa wateja, Daah ni uzembe mkubwa kibiashara maana watalii wapo wengi tu kule.. Ni suala tu la ku-shusha bei ya chumba na ku-operate katika level za kawaida (generally, to lower the operating cost & minimizing the expenses).
BTW, ni maoni yangu tu ila sijui hasa kilichowasibu ni nini mpaka kufikia maamuzi waliyofikia sasa ya kuifanya kuwa hostel za wanafunzi.
Kila nikifumba macho nikifumbua nahisi kama ni Utani tu wanatuzingua hawa. They can't be serious!
 
Back
Top Bottom