Tanzania kuanza kutumia 5G. Sheria ya kulinda Taarifa binafsi za Wananchi yaja

Teknolojia hii tu tuliyonayo bado haina tija, nilidhani wangefanya kwanza kuboresha miundo mbinu kama vile mkonga wa taifa ambao unateknolijia ya kisasa kwa maana huo wa zamani na teknolojia yake sidhani utatusaidia sana, jijini Dar Es Salaam tu mawasiliano ni ya shida .
 
This has cost implication, talking of fast downloads, 4k, FHD means speed ya kula mb itakuwa kubwa, ni vizuri mkawaandaa watu wasije letu vilio vya mbona nikiweka 10gb inaisha siku mbili?
 
hiyo 4g yenyewe pasua kichwa kwao itakuwa hyo 5b na mpaka leo bado makampuni ya simu bado wapo katika 3g
 
Naagiza Huyu jamaa apewe kazi pale B.O.T kitengo cha online, Kuna mzee pale hataki kufungulia PAY PAL ifanye kazi Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…