Tanzania Kuanza ujenzi wa LNG ($30B) 2022 na Ujenzi wa Kiwanda kikubwa cha Mbolea ($1.9b) 2021

2022??? Kama ujenzi was SGR umekwama, tungoje uzinduzi kwanza
 
wazee wa kujisifia ya kwamba kwenu nyi ni wasafi...haya kw misifa yenu kipindu kipindu kimeuwa mtu dar...wacheni misifa ya kijinga hku mkiikejeli kenya...mbna wakenya hawajafungua thread kuhusu ungonjwa wa dengue dar...jiangalieni

https://www.facebook.com/
 
Uhakiki una muda wake. Tujifunze wengine wamefanyaje kwenye eneo la gas. Mazuri tuyabebe...yenye utata tuachane nayo.
Hicho ndiyo kinafanyika sasa. Watu huwa mnamsema Magu anapenda kuzindua, hakifanya tofauti watu bado mnamsema.
 
Hicho ndiyo kinafanyika sasa. Watu huwa mnamsema Magu anapenda kuzindua, hakifanya tofauti watu bado mnamsema.
Ujenzi upi Umekwama tena mzee mbona kichwamaji fala wewe
 
ooh,gase yetu imepewa mchina bada ya rizione kukamatwa na cocaine,huu ni mfano halisi wa uongo hupanda lift na ukweli huja mdogo mdogo kwa miguu
 
30 billion USD....Too good to be true

Tanzania Government to get annual revenue of 3.5 billion US dollars apart from share ya other investors wakianza ku export gas
 
30B USD ? Halafu ni 2022 hapo ? Labda kama mngesema ni 2090 huko kidogo ningewaelewa
 
Kwanini hii habari imewekwa jukwaa la Kenya?
 
Kwanini hii habari imewekwa jukwaa la Kenya?

Mosi, Kenya Kuna Njaa sana, Mradi huu utafanya upatikanaji wa Mbolea ya Bei rahisi na kunusuru maisha ya Ndugu zetu Wakenya, ni Jambo jema kuwajuza walau wasikate tamaa na kufa.

Pili,
Huwa napenda kutumia mfano huu,
Ukiwa na Mabanda ya Mifugo nyumbani Kwako, Unaamua kutenganisha banda la Mbuzi na Banda la Kuku, Siku ukijiskia unaweza ongezea Bata kwenye banda la kuku au ukaamua kufuga Nguruwe kwenye Banda la Mbuzi,
Ndivyo ilivyo JF,
Ni Ya watanzania, Tumewapa Privilege wakenya kujadili kwenye Jukwaa hili na watz wenye JF watapost chochote humu wakijiskia na wakati wowote,
Tatu, hHuu mradi ni Mkubwa sana, Ni sawa na 50% ya Uchumi wote wa Kenya na Hata Tz, Ni mradi utakaowafaidisha wana Africa Mashariki wote hasa Kenya ambao wengi wanatumia gesi LPG toka Tanzania
 
mafala pekeake ndio ataamua kufuga nguruwe na mbuzi katika zizi moja...hku akiongeza vifanga katika zizi la ngombe...si watakanyagwa tu na kufa...bwahaaa...mke lazima atamfuata mumewe tu hata wakitenganishwa...
 

In hospitals too

 
Lovely @ ngwanakilala
 
kampuni gani ilihusika? kwani si process au ilisimika mitambo ikasepa? kampuni ndo naulizia
Unauliza swali la darasa la 3 B, hizo companies ulizozisoma zinafanya negotiations kuhusu LNG plant ndio zilifanya explorations so technically that's not a question.
 
Mazungumzo yatachukua miezi 7 na tarehe ya kuanza imeshatangazwa, kitu hiki kimewahi kusemwa kabla ya wakati wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…