TaNzANiA kuFiKiA 2020 mAmBo yAtaKuWa hIvI:::

TaNzANiA kuFiKiA 2020 mAmBo yAtaKuWa hIvI:::

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
1.Nameless kupata jina.
2.Facebook imejaa sasa
2naandka chestbook.
3. TMK wanaume sasa
kuwa TMK wazee. 4.Mr 2 Sugu kuwa raisi
badala ya Diamond.
5.Babu Seya na wanawe
watolewa jela.
6.Bei ya kilo ya sukari
kuwa sawa na bei ya Starlet.
7.Mchaga wa kwanza
kufungua Mpesa agent
kwny moon.
8.Mtoto aliyekuwa
anaadvertise pampers sasa kaajiriwa Alwayz.
9. Simba kujenga uwanja
unaitwa Lion King.
10. January kutolewa
kwny calender kutokana
na kuwa mgumu kifedha.

ONGEZEA MENGINE,...,....
 
hahahaaaaaaaaaaa....this made me lough..........Mtoto aliyekuwa anaadvertise pampers sasa kaajiriwa Alwayz!! King'asti embu njoo ona mambo huku
 
Last edited by a moderator:
Wasutaji kufungua kampuni na kupata kazi za tenda
 
azam fc kuwa timu kubwa Tanzania.
 
waliofeli mwaka huu ndio watakao iongoza nchi, na mambo yatasonga vyema kuliko!?
 
Bishanga huyu dogo analeta za kuleta tu hapa
kwani nani hana kazi, watu tuko bize kama hivi
makamanda wako wanasota huko tabora tunatafuta namna wa kuwaokoa anasema hatuna kazi
watu tuko na mishemishe za kuandaa viwaro vya kwenye msafara wa rais wa dunia
halafu anasema hatuna kazi C.T.U pita na zako usilete uvivu wako hapa
Bishanga hivi upo kweli?
C.t.u umeanza tena eh?
Mamndenyi, Madame B gfsonwin na kundi embu mpeni za uso huyu mkaka,amezidi!
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi atakuwa anamiliki mashamba makubwa huko bagamoyo - sitajibu swali lako tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Heheheheheheheheheheeeee...itakua THE GREATEST REVOLUTION
 
Back
Top Bottom