happymwashi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 980
- 846
Kama ww inaujua uchumi nasio mwanasheria kwann yeye asijue ?? Kwan uchumi unapimwa wapi? Kwamtazamo wako ww unaungana na benk ya dunia???mchumi na mwana sheria wapi na wapi?! huyu mama ni mwana siasa au ni mchumi au ni mwanasheria?! mbona huwa simwelewi
Kwa sababu mwanaume aliyekua amuoe amekuoa wewe.Kwani huyu hana mwanaume?
Ko nyie ccm uchumi wa nchi umekua?? Sisi hatuon pesa huku maisha magumu uo uchumi gan uliopo? Nawala sio bank ni magufuli kajipelekea takwimu zake apate kura nakusifiwa ...wachunguz waje apa kama hatawatimua ! Achen uchama mbwa nyie na nyie mtazaa wachadema watakua watoto wenu wakat huo mmeshakufaChadema mnahangaika sana!
Naona tuwaache kwanza muelimishane na Fatuma wenu.Anyway,labda hamna nchi iliyomo tena katika hilo kundi.
Na hii je?
Cha msingi ni kujiuliza tumepanda kwa kiasi gani kwa muda wote huu kufikia hatua tuliyopo sasa na sio kupiga mapambio tu.
View attachment 1495106
Chadema ni ya watoti wa akina Mbowe hata wewe uko hapo " Ufipa bahati mbaya"Ko nyie ccm uchumi wa nchi umekua?? Sisi hatuon pesa huku maisha magumu uo uchumi gan uliopo? Nawala sio bank ni magufuli kajipelekea takwimu zake apate kura nakusifiwa ...wachunguz waje apa kama hatawatimua ! Achen uchama mbwa nyie na nyie mtazaa wachadema watakua watoto wenu wakat huo mmeshakufa
We bwashehe hebu tuliaZanzibar watu wana akili sana, Fatma Karume ni mwanamke ambaye kichwa chake kinafanya kazi sana kwenye mambo mbali mbali, kule Tanganyika wakisikia uchumi wa nchi ni wakati wanapiga kofi na vigelegele tu na kumpongeza mkuu,
Ndio mana kule Tanganyika hadi sasa hakuna aliyesubutu kujaza fomu ya urais ukitoa mkuu. Wanapelekeshwa kweli kweli
Huyu dada tayari ana matatizo. Ni abnormal, ni psychiatric case!Kuna watu siasa zitawaletea malazi yasiyoambukiza, au kudhoofisha afya ya akili
Ujinga! Kwani wananchi wana feel ongezeko la kipato chao kupitia tangazo la Waziri Mpango au wanaona wenyewe kwamba kipato chao kimeongezeka? Wewe mwenyewe hapo ulipo umeandika hicho ulichokiandika huku ukiwa huliamini tangazo la Waziri maana haliendani na uhalisia wa maisha ya mtanzania!Halafu Muzungu kaleta hii habari kipindi cha Uchaguzi, yaani hardtalk ya Tundu lisu, Zito Kabwe kujiuza ofisi za benki ya Dunia kuichongea nchi yetu iwekewe vikwazo, halafu mwishowe Muzungu huyo huyo anaipatia Tanzania yetu middle income status tena kipindi cha Uchaguzi? Duh!
Ko nyie ccm uchumi wa nchi umekua?? Sisi hatuon pesa huku maisha magumu uo uchumi gan uliopo? Nawala sio bank ni magufuli kajipelekea takwimu zake apate kura nakusifiwa ...wachunguz waje apa kama hatawatimua ! Achen uchama mbwa nyie na nyie mtazaa wachadema watakua watoto wenu wakat huo mmeshakufa
UJINGA una tafsiri nyingi sana kutegemea na mtazamo mtu mwenyewe!Malcom X hakuwa mjinga kias hicho
Punguza umbea duniani nchi zilizopanda ni nchi tano tu ambapo kwa Afrika ni Tanzania na Algeria (stand to be corrected) sasa wewe Kama wamelegeza vigezo lakini bado Afrika zimeingia nchi mbili.Wallahi lazim Elimu ya Tanzaniaaiboreshwe. Kumbe tumewekwa kwenye KUNDI la LOWER MIDDLE INCOME kwa sababu WORLD BANK wamebadilisha MFUMO wakupima Utajiri wa Nchi na wameondoa LOW INCOME-Fatma Karume on twitter
View attachment 1495087
TOO LOW!!!Akamshauri yule babake cha pombe