Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
Tanzania kuja na usafiri wa magari ya kutumia Nyaya Angani
Hii sio stori Tena ni Mafanikio makubwa Tanzania inaenda kupata chini ya Rais mpendwa kwa sasa Dokta Samia Suluhu Hassan, Tanzania kuanzisha Usafiri wa Angani ambao utakua unatumia Nyaya.
Zaidi ya kampuni Tano za kigeni kutoka Misri, ufaransa, Uswizi pamoja na wawekezaji kutoka ndani ya Tanzania wameonyesha nia ya kutaka kuwekeza katika usafiri wa kutumia Nyaya angani.
Kwa ufupi tu Usafiri wa Cable ni usafiri wa kisasa ambao utumika kusafirisha abiria na bidhaa mbalimbali kupitia mfumo wa cable angani ambazo zimeunganishwa kwa waya ambao ujulikana kama Cable cars.
Usafiri huu unakua wa Angani ambapo watu wataweza kusafirishwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine kupitia magari yenye Cable bila kushuka chini ni Anga kwa Anga.
Mkurugenzi wa idara ya uhusiano na Mawasiliano Latra Salum Pazzy ameimbia Citizen kampuni mbili kutoka Ufaransa na Misri tayari zimejitokeza zikisubiria Idhini ya kuwekeza kwenye sekta hiyo.