#COVID19 Tanzania kujenga kiwanda cha kuzalisha chanjo ya Covid-19

#COVID19 Tanzania kujenga kiwanda cha kuzalisha chanjo ya Covid-19

Nje ya mada, swali,
Hivi wale wawekezaji Waarabu, WaKuwaiti sijui Saudi, walioleta hadi $$ B.o.T, wameshapata vibali vya kufungua kiwanda chao?? Fedha zao je, wamerudishiwa??

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dodoma Katibu Mkuu, Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Afya Prof. Abel Makubi amesema kiwanda hicho hakitatengeneza chanjo ya UVIKO tu bali na magonjwa mengine.
Ndiyo kile cha Humphrey Slowslow
 
Serikali imeanza mchakato wa kutengeneza chanjo ya Virusi vya Corona hapa nchini ili kupunguza gharama ya kuagiza nje ya nchi na kuzifanya ziwe karibu na wananchi...
Hawa ndio vilaza wenzake na jumong,yani kazi yao uwongouwongo kma meko tu...huyo mama ni fooo
 
Juzi Rwanda wamepewa na EU $3.6mil ili wa upgrade laboratory zao kwa ajili ya kutengeneza hizo chanjo,labda nasi pia Kuna mpango huo.
Sijui wana agenda gani na Corona Yao
Mbona tutakwisha?
Kule waliko chanjwa inakuja na Toleo jipya washafika toleo la tano
 
Nje ya mada, swali,
Hivi wale wawekezaji Waarabu, WaKuwaiti sijui Saudi, walioleta hadi $$ B.o.T, wameshapata vibali vya kufungua kiwanda chao?? Fedha zao je, wamerudishiwa??

Everyday is Saturday............................... 😎
Swali zuri
 
Drip tu zinatoka Kenya na Uganda na India, e.t.c Panadol halikadhalika za Kenya bei tofauti na za Tanzania...
Kama hujui kaa kimya.drip zinatengenezwa kibao tu hapa tz.bugando,kcmc,muhimbili.panadol ndio usiseme.dawa za tz ni bora zaidi kuliko za Kenya kama hujui.tembeeni muone sio kupiga kelele kila siku.
 
Kama hujui kaa kimya.drip zinatengenezwa kibao tu hapa tz.bugando,kcmc,muhimbili.panadol ndio usiseme.dawa za tz ni bora zaidi kuliko za Kenya kama hujui.tembeeni muone sio kupiga kelele kila siku.
Unampinga hadi mwendazake 😂 😆
Sasa za KCMC na Bugando ndiyo zinasambazwa na MSD katika maduka yao nchi nzima siyo??

Basi sawa kule Nanjilinjili zahanati watakuwa wameziona drip made in Tanzania by Muhimbili hospital.

Everyday is Saturday..............................😎
 
Hawa hata sindano tu wanaagiza nje ya nchi, ndio wataweza kutengeneza chanjo yao wenyewe, labda waruhusu miongoni kwa kampuni ambazo chanjo yao imeshaidhinishwa waweke plant yao nchini kwa ajili ya supply ya Africa.
Wanataka kuleta mambo aliyoyafanya Ramadhani Madabida kwenye ARV's
 
Back
Top Bottom