#COVID19 Tanzania kujenga kiwanda cha kuzalisha chanjo ya Covid-19

#COVID19 Tanzania kujenga kiwanda cha kuzalisha chanjo ya Covid-19

Mbona tulishaambiwa na serikali kuwa ile juice ya NIMR inayoitwa Covido inatosha kukinga na kuponya Corona, sasa tunaingia gharama zingine za nini za kujenga viwanda vya chanjo?

Timu nzima ya wizara ya afya ilituhakikishia hilo na wakafanya demonstration mbele ya waandishi wa habari ili tuamini kuwa ni salama na bora, leo imekuwaje?
 
Aache siasa kwenye suala la afya za watu kama hizo chanjo wanadhani ni rahisi tu kama wanavyosema, wasije kutoa chanjo ambazo ziko contaminated kutokana na uzembe wao na team yake ya wizara ya afya maana wabongo kwenye suala la kutokuwa makini ndo huwa sehemu yao halafu baaada ya muda tuanze kutupa lawama Kwa WHO kumbe sisi ndo tumeingiza siasa kwenye afya za watanzania
 
Kwani zile mashine za kujivukiza & dawa iliyeletwa na mtumishi wa bwana Kabood vimeshindwa kutuvusha japo tufike buzirayombo kwa warembo wa kiarabu koko
 
Back
Top Bottom