Weka pichakwa sasa zinazalishwa nchini
😃😃Hivi ku process vaccine wanadhani ni jezi na kofia za sisiemu!
TUTAWEZA TU,TUSIJISHUSHE SANA,PANYA NA SOKWE WA MAJARIBIO TUNAO.Hivi ku process vaccine wanadhani ni jezi na kofia za sisiemu!
Wameanzia mbali kweli. Yaani wameona wakienda moja kwa moja kwamba, chanjo zimetoka USA, basi watu watanza maneno!Nimeamini sasa.