Tanzania kujenga viwanja 6 vipya bora vya mpira kabla ya 2026

Mwanza CCM kirumba inatosha, ifanyiwe renovation, CCM wafidiwe, kirudi serikalini
 
Mkuu, kuna vingi vinaendelea kwenye nch yetu, hatuwezi sema tusijenge viwanja vya michezo,

Au wew ni wale wababa wakiwa wanajenga home wanasahau kuku?
 

Hii taarifa ina kila dalili za kuwa ni chai...
 
Kipo katikati ya mji,
Na kile hakihitaji renovations, ni kukijenga upya, sasa gharama zote hizo za nn?
Amahoro cha Rwanda kimekarabatiwa na kufanyiwa maboresho makubwa sana.

Ila hata wakijenga upya ni sawa tu.
 
Nchi inapitia magum sana
 
Fifa waturuhusu tukodi wachezaji kutoka mataifa ya nje
 
Watu wenyewe sisi ni waswahili Sasa ulitaka tuwe wazungu mzee?
 
Hii serikali ya CCM na ahadi zake ni ya kuamini kweli?

Hawa watu ni waongo na wazandiki wa mwisho. Hawafai na hawaeleweki!

Wameshindwa kutatua changamoto ya umeme ambao ndiyo muhimu kuliko hivyo viwanja miaka na miaka leo wanajiombeleza pesa toka kwa "mabeberu" Ili wajenge viwanja vya kuchezea??
 
Taarifa za inasemekana usiwe unazileta Jukwaani maana zinakosa mantiki.

Weka evidence ya maelezo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…