Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza CCM kirumba inatosha, ifanyiwe renovation, CCM wafidiwe, kirudi serikaliniTanzania ipo kwenye mkakati wa kujenga viwanja vipya vya mpira kwenye mikoa sita vyenye uwezo wa kubeba watu zaidi ya 60,000.
Na inasemekana tayari kuna mazungumzo na kampuni moja ya kichana ya usanifu wa viwanja kwa ajili yamichoro ya ujenzi wa viwanja hivyo vya kisasa.
Mikoa hiyo ni Mwanza, Arusha, Dodoma, Mtwara, Mbeya na Unguja.
Hili limekuja baada ya Tanzania kuwa ni mwandaaji wa michuano ya afcon 2027.
View attachment 2876415
Mkuu, kuna vingi vinaendelea kwenye nch yetu, hatuwezi sema tusijenge viwanja vya michezo,Ndio vipa umbele vyetu? Nchi kama Egypt ina Mega project za kuifanya kuwa nchi yenye uchumi mkubwa Africa ndani ya miaka 2 au hata mmoja ijayo, sisi tuko busy na ujinga, Project za kuvutiwa waswahili wakaa vijiweni.
Nchi ina project za Kiswahili sana
Kipo katikati ya mji,Mwanza CCM kirumba inatosha, ifanyiwe renovation, CCM wafidiwe, kirudo serikalini
Kampeni tu hizi.Usiiamini hii serikali hata kidogo.
Tanzania ipo kwenye mkakati wa kujenga viwanja vipya vya mpira kwenye mikoa sita vyenye uwezo wa kubeba watu zaidi ya 60,000.
Na inasemekana tayari kuna mazungumzo na kampuni moja ya kichana ya usanifu wa viwanja kwa ajili yamichoro ya ujenzi wa viwanja hivyo vya kisasa.
Mikoa hiyo ni Mwanza, Arusha, Dodoma, Mtwara, Mbeya na Unguja.
Hili limekuja baada ya Tanzania kuwa ni mwandaaji wa michuano ya afcon 2027.
View attachment 2876415
Amahoro cha Rwanda kimekarabatiwa na kufanyiwa maboresho makubwa sana.Kipo katikati ya mji,
Na kile hakihitaji renovations, ni kukijenga upya, sasa gharama zote hizo za nn?
Nchi inapitia magum sanaTanzania ipo kwenye mkakati wa kujenga viwanja vipya vya mpira kwenye mikoa sita vyenye uwezo wa kubeba watu zaidi ya 60,000.
Na inasemekana tayari kuna mazungumzo na kampuni moja ya kichana ya usanifu wa viwanja kwa ajili yamichoro ya ujenzi wa viwanja hivyo vya kisasa.
Mikoa hiyo ni Mwanza, Arusha, Dodoma, Mtwara, Mbeya na Unguja.
Hili limekuja baada ya Tanzania kuwa ni mwandaaji wa michuano ya afcon 2027.
View attachment 2876415
Fifa waturuhusu tukodi wachezaji kutoka mataifa ya njeTanzania ipo kwenye mkakati wa kujenga viwanja vipya vya mpira kwenye mikoa sita vyenye uwezo wa kubeba watu zaidi ya 60,000.
Na inasemekana tayari kuna mazungumzo na kampuni moja ya kichana ya usanifu wa viwanja kwa ajili yamichoro ya ujenzi wa viwanja hivyo vya kisasa.
Mikoa hiyo ni Mwanza, Arusha, Dodoma, Mtwara, Mbeya na Unguja.
Hili limekuja baada ya Tanzania kuwa ni mwandaaji wa michuano ya afcon 2027.
View attachment 2876415
Kwani mkhojani sindiyo kwao?Zanzibar kipo tayari, hicho kingine kingesogezwa pemba hivo wajameni na siye watu ivyo!
Ingewezakana tatizo Pemba mpira ni haramZanzibar kipo tayari, hicho kingine kingesogezwa pemba hivo wajameni na siye watu ivyo!
Watu wenyewe sisi ni waswahili Sasa ulitaka tuwe wazungu mzee?Ndio vipa umbele vyetu? Nchi kama Egypt ina Mega project za kuifanya kuwa nchi yenye uchumi mkubwa Africa ndani ya miaka 2 au hata mmoja ijayo, sisi tuko busy na ujinga, Project za kuvutiwa waswahili wakaa vijiweni.
Nchi ina project za Kiswahili sana
Wacha ubaguzi Babu.Mtwara itolewe na kuwekwa Kahama au kiongezwe cha saba
Au unataka wachezaji kwenda huko watumie mabus ya Forester?[emoji573][emoji573]Mtwara itolewe na kuwekwa Kahama au kiongezwe cha saba
Ungopa mkondo wa NUNGWI?Unguja inafikika haraka kuliko pemba
Hii serikali ya CCM na ahadi zake ni ya kuamini kweli?Tanzania ipo kwenye mkakati wa kujenga viwanja vipya vya mpira kwenye mikoa sita vyenye uwezo wa kubeba watu zaidi ya 60,000.
Na inasemekana tayari kuna mazungumzo na kampuni moja ya kichana ya usanifu wa viwanja kwa ajili yamichoro ya ujenzi wa viwanja hivyo vya kisasa.
Mikoa hiyo ni Mwanza, Arusha, Dodoma, Mtwara, Mbeya na Unguja.
Hili limekuja baada ya Tanzania kuwa ni mwandaaji wa michuano ya afcon 2027.
View attachment 2876415
Usiiamini hii serikali hata kidogo.
Wawajengee ndio sehemu pekee ya kuwakamata wapumbavu wa nchi hiiMkuu, kuna vingi vinaendelea kwenye nch yetu, hatuwezi sema tusijenge viwanja vya michezo,
Au wew ni wale wababa wakiwa wanajenga home wanasahau kuku?
Taarifa za inasemekana usiwe unazileta Jukwaani maana zinakosa mantiki.Tanzania ipo kwenye mkakati wa kujenga viwanja vipya vya mpira kwenye mikoa sita vyenye uwezo wa kubeba watu zaidi ya 60,000.
Na inasemekana tayari kuna mazungumzo na kampuni moja ya kichana ya usanifu wa viwanja kwa ajili yamichoro ya ujenzi wa viwanja hivyo vya kisasa.
Mikoa hiyo ni Mwanza, Arusha, Dodoma, Mtwara, Mbeya na Unguja.
Hili limekuja baada ya Tanzania kuwa ni mwandaaji wa michuano ya afcon 2027.
View attachment 2876415
Ubaguzi gani bibie?Wacha ubaguzi Babu.
Mtwara wana uwanja wa ndege mkubwa kuliko Kahama