mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
ππππππππ€£πππ€£ππ joto la jiwe ichoboy01 Geza Ulole mtambo wa busaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana πππMagufuri hoyeeeeee!
Vipi huko turkana mshaanza kupata milo mi3 kwa siku?Wakenya wataikimbia jamii forums! Tunajenga stesheni za ghorofa, tunanunua bullet trains the 1&only in Africa.
Kumbe ni vyoo vya umma na mtambo wa kubeba chipsi mayai kutoka dar kupelekea akina Richard irakunda kule kigoma.
PRIDE COMES BEFORE A FALL
Cc: ichoboy01
π π π π πBurret---Burret-- =BULLET. & u used 2 b a tutor, really???
Wana test mitambo.
Burrettrain zitakuja baada ya kuwekwa umeme.
Utapata presha bureππππππππππππ€£πππ€£ππ joto la jiwe ichoboy01 Geza Ulole mtambo wa busaa
Huku tanzania ikiendelea kukupa presha juu ya bullet train usisahau hiiπππππππππππππ€£πππ€£ππ joto la jiwe ichoboy01 Geza Ulole mtambo wa busaa
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kwahiyo we hujaona hicho kichwa kua ni cha yap markelz au unajitoa ufaham
Kwa hivo kikiwa cha Yapi Merkezi ndio linaondoa facts zangu? MalengeKwahiyo we hujaona hicho kichwa kua ni cha yap markelz au unajitoa ufaham
Tazama vizuri hicho kichwa sio cha TRC bali ni mali ya mkandarasi anayejenga (Yapi Merkezi) kwa ajili ya kufanyia testing. Angalia logo pembeni. Treni za TRC zinanuliwa toka kwa OEMs through a separate tender process.
π π π View attachment 1091123
Kwa sababu wewe ni msomi na mimi pia ni msomi. Si rahisi kupatana na Mt.z aliyebobea kwenye vitabu.Bro mbona unaniuliza swali hili mara kwa mara?