joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #121
Kama ni wewe ndio umepewa nafasi ya Mahiga ungefanyaje? Miezi miwili nyuma Kanya hawahawa walikataza Gari za Tanzania bila kuishirikisha Tanzania katika maamuzi yao, kabla jua halijazama wamerudia kosa lile lile, unataga Kabudi afanye nini?. Hawa ni watu wa kupambana nao tu, Hakuna jinsi.Tangu atolewe Mzee Mahiga kwenye ile wizara nyeti, limebakia Pazia tu la kutumbua mimacho tu na kusifu sifu ujinga.
J3 ilikuwa mbali sn mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]
MY TAKE: Magufuli amefika Dar es Salaam jioni hii toka akitokea kumzika Mkapa huko Mtwara, Kenya ijiandae kwa "retaliation" kali sana kuanzia Jumatatu ijayo.
Hahahaha, kumbe mimi japo ninawahurumia wakenya kidogo kuliko Magufuli, ninashangaa wakenya wananichukia zaidi kuliko wanavyomchukia Magufuli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]J3 ilikuwa mbali sn mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]
Hakuna nomaKama ni wewe ndio umepewa nafasi ya Mahiga ungefanyaje?. Miezi miwili nyuma Kanya hawahawa walikataza Gari za Tanzania bila kuishirikisha Tanzania katika maamuzi yao, kabla jua halijazama wamerudia kosa lile lile, unataga Kabudi afanye nini?. Hawa ni watu wa kupambana nao tu, Hakuna jinsi.
Alafu ifike kipindi pini ziendelee mana Wakenya wamesoma alama za nyakati wamegundua Tz itawasumbua sn kiuchumi huko mbeleni, ss inabd na cc tuanze kuchukua hatua kulinda malengo yetu kwa kuminya kila kitu toka kenya bila kusubiri wao waanze ndo tumalize yn tuwe tunalianzisha hata baada ya hili kupita.Hahahaha, kumbe mimi japo ninawahurumia wakenya kidogo kuliko Magufuli, ninashangaa wakenya wananichukia zaidi kuliko wanavyomchukia Magufuli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kibra ndio jina sawa la Kinubi Bali kibera ni kutoka a na Lahaja ya lugha ya Kikuyu. Learn to research kiasi kabla kudhihirisha ujinga.Nyie ndio vinara wa kujidharau na kuona wazungu ni kila kitu kwenu.
Mbona nyie mnakuwa na aibu na kiswahili kiasi kwamba hata KIBERA mnaita Kibra ili tu utamke kama mzungu. Penda lugha yako!
😂😂😂😂Alafu ifike kipindi pini ziendelee mana Wakenya wamesoma alama za nyakati wamegundua Tz itawasumbua sn kiuchumi huko mbeleni, ss inabd na cc tuanze kuchukua hatua kulinda malengo yetu kwa kuminya kila kitu toka kenya bila kusubiri wao waanze ndo tumalize yn tuwe tunalianzisha hata baada ya hili kupita.
Ukifanikiwa kunionesha $100b nafunga accnt Jf [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
$65b vs $100b
[emoji848][emoji848]
Pia ukifanikiwa kunionesha $65b nafunga accnt Jf [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
$65b vs $100b
[emoji848][emoji848]
Watanzania wengi tu wapo kenya, sione tu kuwa Wakenya ndio wanakuja Tanzania, ukiona dar lux na Dar express zote zinaleta watanzania kenya na kuchukua wengine so usione tu Wakenya.Ingependeza zaidi wapigwe marufuku na raia wa Kenya kuja Tanzania[emoji1241]
Funga account 😁Ukifanikiwa kunionesha $100b nafunga accnt Jf [emoji3][emoji3]
Kumbe ni $61b 😂 usifunge accountPia ukifanikiwa kunionesha $65b nafunga accnt Jf [emoji3][emoji3][emoji3]
Naona uvivu hata kujibu hii.Funga account [emoji16]
View attachment 1523458
Nyie endeleeni kushiikiliwa kila kitu na mzungu....hata namna ya kupambana na corona endeleeni kusubiri mwongozo toka kwa bwana zenu.Kibra ndio jina sawa la Kinubi Bali kibera ni kutoka a na Lahaja ya lugha ya Kikuyu. Learn to research kiasi kabla kudhihirisha ujinga.
Doesn't matter, kwn tucpo retaliate watu hawaumii? Huoni wanavyokataza WaTz kuingia kwao? Au una comment ili tujue uwepo wako mkuu.Mwisho wa Siku anayeumia ni MWANANCHI WA TZ NA WA KENYA.
Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
Uko na ushuzi wa wikipedia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]world bank wamewaweka kwa 95 bill[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe ni $61b [emoji23] usifunge account
Warembo wapi?? Najua na nimetembea uko hakuna warembo labda Arusha.Rampant bleaching fake fake kujichibua tu.Nenda Rwanda na Ethiopia uone warembo na upeleke ujinga uko kijijini kwenu Bukoba