Tanzania kulipiza kwa nguvu zaidi kufuatia Kenya kuwakataza Watanzania kuingia Kenya

Tanzania kulipiza kwa nguvu zaidi kufuatia Kenya kuwakataza Watanzania kuingia Kenya

Wale madereva waliorudishwa kwa kupakaziwa kuwa wana corona umesahau? Af we unayewatetea Wakenya na ww ni mkenya nn? Mana kwa ss hatuna WaTz dizain yako wa kuvumilia ushenzi.
Siwatetei hao ndugu zetu wa uwongo, Ila nataka kujua zaidi juu ya sakata hili! Maana Hawa jirani wanapelekeshwa Sana na mabeberu! Sijui kipindi hiki wameelekezwaje ili kutuhujumu! Ila wakae wakijua watachemka Tena!
 
Kwangwa1,
Kwani Kuna aibu na rangi nyeusi ya Mwafrika? Haikosi ungependa kuwa mzungu kiingereza ndio kinakuangusha...penda rangi yako Mkuu.
 
wachina wanawadai hela ndefu kenya, watapata wapi jeuri ya kuwafungia, lasivyo watapigwa viboko nchi nzima kama walivyozoea kuchapwa bakora na wachina[emoji23][emoji23][emoji23]
hiyo move hata mimi imeniumiza kichwa sana , corona imeanzia huko na tumeitoa huko, yet unaruhusu wachina in first place!!!
honestly sijaelewa maana yake
 
Mkiifungia ka mtawatesa watz wenu tu.
Wacha wateseke

JamiiForums-1597831292.jpg
 
Back
Top Bottom