Tanzania kulipiza kwa nguvu zaidi kufuatia Kenya kuwakataza Watanzania kuingia Kenya

Tanzania utapata warembo wa kila aina, rangi, shepu na muonekano,

Rwanda warembo karibia wote ni aina moja hali kadhalika Ethiopia pia.

Mmebaki kushabikia skendo,urembo,uchawi,harusi pamoja na udaku, tutawaonesha kivumbi kiteknologia pamoja na kiuchumi na hatua zikiwa kubwa tutawatawala hata, nyie pambaneni na urembo,ngono,skendo,miziki, mishenzi ya Afrika.
 
China hawatoi data za covid19 kama Tanzania..

Hizi ndio hatua pombe atazichukua

1. Piga marufuku maziwa ya kenya juuzwa tz hasa brookeside[emoji1]

2. Piga marufuku magari ya kitalii juingia tz

3. Piga marufuku ndege zao kuongia tz

4. Choma moto vifaranga vya kuu vitakavyo vuka mpaka.

5. Bidhaa zote za kenya lazima zipimwe covid 19 hata Kma ni papai[emoji1][emoji111]
Hasa hasa Kiwi, Kcc,blueband,sabuni,na juice mbalimbali zipimwe kwa kina na hata ikiwezekana sample zifanyiwe culture
 
Enyi wakenya

Screenshot_20200731-135400_Instagram.jpg
 
kashindwa kujisimamia kiume kaanza kutukana wazazi ambao hawahusiki humu,wengine hata hawapo duniani, kama sio mchawi huyu atakua ndo wale james delicious wa tanganyika
kalb hayawan.
Ukishindwa kuelewa kwa njia rahisi kabisa, basi itatumia ile yenye kukutia uchungu.

Hapa hisia hazitakiwi,ni nyinyi wenzetu hawa hawa mtakuja kumsimanga magu kwa hatua atakazochukua baada ya hapa.
 
Ukishindwa kuelewa kwa njia rahisi kabisa,basi itatumia ile yenye kukutia uchungu.

Hapa hisia hazitakiwi,ni nyinyi wenzetu hawa hawa mtakuja kumsimanga magu kwa hatua atakazochukua baada ya hapa.
Kusimangwa lazima asimangwe, kwani yeye ni Mungu mtu?...na ubavu wa lolote hana, acha ije ifike nasi tumpate kichaa Ruto mkalenjini mtatutambua tu.
 
😀😀 eti subiri aje Ruto kichaa wa kalenjini? We umeshamjua nani upande huu atakuwepo wakati huo baada ya Jiwe? Huenda akawa kichaa zaidi. Kua makini na unachokitamani. Juzi kati mmekalishwa na wakuu wa mikoa wawili Kili na Tanga vp leo nchi nzima iwaangukie si kenya mtaangamia?
 
Akili za kuambiwa changanya na zako,
 
Dawa ilikuwa serikali ijitafakari kuhusu Kilimo
Tusafirishe au Kuuza mazao yetu wenyewe kwa nini yapitie Kenya
Hili zoezi serikali linawashinda??
Mbao Mahindi Maparachichi Korosho Maua Mboga Nyama zaidi TANZANITE kwa nini Kenya ndio iwe wauzaji wa mali za Tz
Kila kitu made in Kenya wakati tunajua ni Uzao Tz
Serikali badilisheni Gia angani Tuanze Kujitegemea
Wakenya take advantage of our Country

Ajira za Tz wamejaa Wakenya na Wanyarwanda Watoto wetu wanakosa kazi
Tujitafakari
 
Habari njema ni kwamba hivi visa unavyoona ni comeback baada ya kugundua tunakwenda kuwatoa kwenye ramani za kibiashara chini ya miaka 10 ijayo.

Ukitaka kuamino subiri uone jibu linalokuja,ndio utajua draft tunawaacha wasogeze wao kete kwanza ili tuwazibue sawa sawa.unajua ni jinsi gani kumnyonga nyani yataka roho ngumu,vinginevyo unamfunga katka gari lililokosa breki kisha unamuachia nalo mlimani kama hivi tunavyotaka kuwafanya.
 
Dawa ilikuwa serikali ijitafakari kuhusu Kilimo
Tusafirishe au Kuuza mazao yetu wenyewe kwa nini yapitie Kenya
Hili zoezi serikali linawashinda??
Mbao Mahindi Maparachichi Korosho Maua Mboga Nyama zaidi TANZANITE kwa nini Kenya ndio iwe wauzaji wa mali za Tz
Kila kitu made in Kenya wakati tunajua ni Uzao Tz
Serikali badilisheni Gia angani Tuanze Kujitegemea
Wakenya take advantage of our Country

Ajira za Tz wamejaa Wakenya na Wanyarwanda Watoto wetu wanakosa kazi
Tujitafakari
Hivi unafahamu kuwa kuna mpango wa kununua ndege ya mizigo ili maparachichi, mboga , nyama n.k viweze kupelekwa nje moja kwa moja kutotea Tz?
 
Sababu wanaogopa Tanzania tunaweza wapelekea ugonjwa sioni kama busara kuwaacha wao waingie kuchukua ugonjwa kwa hiyari yao, sasa lazima tufanye jambo ili twende sawa.
Ni kuwasadia tu kwa kuzuia wakenya wasikaje nchini
 
Dawa ilikuwa serikali ijitafakari kuhusu Kilimo
Tusafirishe au Kuuza mazao yetu wenyewe kwa nini yapitie Kenya
Hili zoezi serikali linawashinda??
Mbao Mahindi Maparachichi Korosho Maua Mboga Nyama zaidi TANZANITE kwa nini Kenya ndio iwe wauzaji wa mali za Tz
Kila kitu made in Kenya wakati tunajua ni Uzao Tz
Serikali badilisheni Gia angani Tuanze Kujitegemea
Wakenya take advantage of our Country

Ajira za Tz wamejaa Wakenya na Wanyarwanda Watoto wetu wanakosa kazi
Tujitafakari
Kwa taarifa yako wakenya wengi sana TZ wananyimwa vibali vya kazi mara tu wanapomaliza kipindi cha vibali vyao ndiyo sababu wanakasirika. Sisi kazini kwetu wote wamenyimwa vibali na wamerudi kwao.
 
Back
Top Bottom