Tanzania kulipiza kwa nguvu zaidi kufuatia Kenya kuwakataza Watanzania kuingia Kenya

Tanzania kulipiza kwa nguvu zaidi kufuatia Kenya kuwakataza Watanzania kuingia Kenya

Tanzania itakapoanza kuchukua hatua kwa mfumo wa reciprocity Kenya wasianze kupiga simu na kulialia. Watu watapanda Ethiopian Airlines, Qatar, KLM na nyinginezo wasipitie kabisa Kenya.
Mbna sio ATCL[emoji23][emoji23]
 
Wakati wazungu weusi wakijifanya wajuaji..wazungu asilia wamejibu HV.

IMG_20200731_041613.jpg
 
Magufuli hakuna kama yeyeeeeee,keep on moving,he iz awa heroo,tupo pamoja na yeye daima,yupo kwa maslai ya wengi na si wachache
Sipendi fanatics wa jambo lolote iwe siasa au michezo. Wanakuanga wajinga sana. Wewe ukiwa mmoja wao
 
Ww ndo unaelewa hilo kwmb mkenya ni ndugu yako ila mkenya haelewi hilo, ngj nkusaidie kdg ni kwamba Tz hatuna undugu na kenya hata wa kumulika na tochi.
Kweli mkuu
Mikenya wakati sisi tunapigania Uhuru kusini mwa Africa pamoja na nchi za kusini yenyewe ilikuwa ikifanya biashara na makaburu.Kenya kuingia SA ni mbinde visa yao wakati mwingine inakataliwa wanaweza rudishwa mpakani!
 
Back
Top Bottom