Ntaghacha
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 1,412
- 4,122
Tuwatese kwa lipi?Mkiifungia ka mtawatesa watz wenu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwatese kwa lipi?Mkiifungia ka mtawatesa watz wenu tu.
MY TAKE: Magufuli amefika Dar es Salaam jioni hii toka akitokea kumzika Mkapa huko Mtwara, Kenya ijiandae kwa "retaliation" kali sana kuanzia Jumatatu ijayo.
KQ ipigwe Stop kuingia Bongo. Huu ujinga umepitiliza
Sasa Kenya wataka fananinisha na nchi isiyo heshimu rai wake Kenya wameendelea.😀😀 Kenyaaaaa bwanaa yaan wanajiaona wa viwangooooo
Naona TBS wameanzia huku [emoji23][emoji23][emoji23]China hawatoi data za covid19 kama Tanzania..
Hizi ndio hatua pombe atazichukua
1. Piga marufuku maziwa ya kenya juuzwa tz hasa brookeside[emoji1]
2. Piga marufuku magari ya kitalii juingia tz
3. Piga marufuku ndege zao kuongia tz
4. Choma moto vifaranga vya kuu vitakavyo vuka mpaka.
5. Bidhaa zote za kenya lazima zipimwe covid 19 hata Kma ni papai[emoji1][emoji111]
Mbona hueleweki?, sasa kama nchi imezuia raia wa Tanzania kuingia nchini mwake, unahisi ni watanzania kufuatilia hiyo taarifa sio muhiumu?Mbona mnafuatilia news za Kenya sana?
Subiri na Tanzania tuwazuie wakenya kuingia nchini mwetu, kwasababu Kenya ni namba 6 Africa kwa idadi ya wagonjwa wa Corona.Wachina wanapiga lockdown ya nguvu resurgence ikitokea. Kwa taarifa shule nyingi china bado zimefungwa.
Polisi na serikali kuwaua raia wake kila siku huko ndio kuwaheshimu? Au wameendelea kwa kuwa na slums nyingi?Sasa Kenya wataka fananinisha na nchi isiyo heshimu rai wake Kenya wameendelea
Acha Basi hizo! Kwa Nini unataka wafukuzwe?Na ikiwezekana walimu wote wa kikenya na raia wote wa kenya wanaoishi humu wafukuzwe tu.
Imezuilia nchi zaidi ya 180, hiyo ni asilimia 95 ya nchi zote ulimwenguni. Mbona Tanzania tu waumie?Mbona hueleweki?, sasa kama nchi imezuia raia wa Tanzania kuingia nchini mwake, unahisi ni watanzania kufuatilia hiyo taarifa sio muhiumu?
Kila nchi itajizungumzia yenyewe kutokana na maslahi yake, ulitaka tuitishe mkutano wa nchi nzote ndio tuje na kauli moja kuhusu Kenya? Au ulitaka tokae kimya?Imezuilia nchi zaidi ya 180, hiyo ni asilimia 95 ya nchi zote ulimwenguni. Mbona Tanzania tu waumie?
Kwnn wao wanatufukuzaAcha Basi hizo! Kwa Nini unataka wafukuzwe?
Speaking as who? Govt spokesman, and are u speaking out of anger and bitterness na wivu. Usiwe unaropokwa tu kama mjinga.Be wise sometimes and always think of consequences, clearly u are not wise.Kila nchi itajizungumzia yenyewe kutokana na maslahi yake, ulitaka tuitishe mkutano wa nchi nzote ndio tuje na kauli moja kuhusu Kenya?. Au ulitaka tokae kimya?.
Kumbuka kwamba 'to every action there is equal and opposite reaction". Kama mumezuia kwa kutumia sababu za Corona, na sisi tutatumia sababu hizohizo kuwazuia wakenya kuingia Tanzania, sisi tutaongeza kidogo kwa kuzuia MAGARI ya Kanya kuingia Tanzania, watch out.
Hapa nmeanza ku load kwnn dege lao bovu lilirudishwa [emoji3][emoji3][emoji3]Kila nchi itajizungumzia yenyewe kutokana na maslahi yake, ulitaka tuitishe mkutano wa nchi nzote ndio tuje na kauli moja kuhusu Kenya? Au ulitaka tokae kimya?
Kumbuka kwamba 'to every action there is equal and opposite reaction". Kama mumezuia kwa kutumia sababu za Corona, na sisi tutatumia sababu hizohizo kuwazuia wakenya kuingia Tanzania, sisi tutaongeza kidogo kwa kuzuia MAGARI ya Kanya kuingia Tanzania, watch out.
We kweli huna unachojua raia gn anaheshimiwa kenya, na hayo maendeleo unayosema ni maendeleo gn hebu tuambie, I can't breaaath [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa Kenya wataka fananinisha na nchi isiyo heshimu rai wake Kenya wameendelea
Stupidity is a curse it's clear u inherited thatNinahisi baba yako aliyekuzaa anavuta bangi, alishindwa kukufunza nidhamu.
Mh ww nawe embu jaribu ku research uone respond ya hao raia juu ya hayo maamuzi ya serikal yao ndio uzungumzee on social networks tunaona the way kenyans complains kuhusu partial lockdown na curfew yao ya maigizoSasa Kenya wataka fananinisha na nchi isiyo heshimu rai wake Kenya wameendelea
Acha kujitoa ufahamu dada zetu ni warembo sana sio kama wa kwenu weusi utafikiri kipindi wanazaliwa walikuwa wanaogeshwa na maji ya mkaaWewe kwanza na dadazako na izo sura zenu personal za kujichibua ni nini ya maana mukonacho kwanza.NONSENSE