peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Ndiyo Ukweli WenyeweWatasema unawivu..😂
Nimewaza ile siasa ya Ujamaana kujitegemea nikajikuta ninalia mwenyewe mkuu.Umewaza Nini
Wamezidi sasa hii kanda iangaliwe kwa jicho pevu Kuna Jambo si kawaida aisee..😬Ndiyo Ukweli Wenyewe
Mungu YupoYana mwisho haya
Mwisho wake unaweza kuwa baada ya miaka 200Yana mwisho haya