Lugha zao ni tofauti ingawa maneno mengi yanafanana . Kuna waarusha nawafahamu mmasai og akiongea hawamuelewiMbona katika list ya makabila 121 yanayo patikana Tanzania hili kabila halipo wakuu?
Na mbona wanaongea kimasai tu au na wenyewe wana lugha yao ya kiarusha?
Dah ngoja niishie hapo nisijue kiliendelea nini baada ya ulabuTukiwa twabwia ulabu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dah ngoja niishie hapo nisijue kiliendelea nini baada ya ulabu
Huku mikoani tunawaitaga hivyo 'wadaslam'.Basi na sisi wengine itabid tujiite "Wadaslam"
ukiacha lugha, je unaweza kuwatofautisha vipi Waarusha na Wamaasai?Kimasai ni wame adopt tu ila ni makabila mawili tofauti kabisa ka ilivo wameru wanaongea kimachame ila si wachagga
Kimasai ni wame adopt tu ila ni makabila mawili tofauti kabisa ka ilivo wameru wanaongea kimachame ila si wachagga
Mbona katika list ya makabila 121 yanayo patikana Tanzania hili kabila halipo wakuu?
Na mbona wanaongea kimasai tu au na wenyewe wana lugha yao ya kiarusha?
Waarusha ni Wamasai wanaovaa Nguo, kujenga permanent houses, Kulala na wake zao chumba kimoja Hadi Asubuhi, kuzika Wafu wao na kwenda Shule. Wamasai ni wale wanaohama na Mifugo, hawana Makazi ya kudumu, wavaa Rubega na wanaume kuachia paja nje, Shule hawapendi, kuoga no, Kula na wake zao hadi Asubuhi no, wanakimbia Maiti n.kWaarusha na Masai ni makabila mawili tofauti, waarusha ni wenyeji wa Arusha mjini, wao ndio wameuza maeneo yao ya maboma kwa wengine (wahamiaji) waliopo Arusha, ila nao wakati mwingine hujifunika mashuka kama wamasai.
Hapo kwenye tabia zao hujakoseaWaarusha,ni sub tribe ya Maasai ambapo kihistoria kabila lao lilitokana na wamasai walioasi mila na desturi za kimasai kwa kufanya baadhi ya mambo ambayo sio mafundisho wala mapokeo ya kimasai,na neno 'waarusa'kwa kimasai ni waliokengeuka kwa tafsri rahisi,...moja ya makengeuko ya enzi hizo ni kuooana na wanawake wa kibantu,......wanaishi pembezoni mwa jiji la Arusha ni viunga vyake..koo maarufu ni Laizer,mollel,na lukumay..
N:B..wana tabia za wivu,husda,ubinafi,kupenda kesi na kujiona wajanja pindi ukiingia kwenye kona zao.
ungejaribu kuuliz hata wazee, maana hapa haujaongea chochoteeWaarusha na Masai ni makabila mawili tofauti, waarusha ni wenyeji wa Arusha mjini, wao ndio wameuza maeneo yao ya maboma kwa wengine (wahamiaji) waliopo Arusha, ila nao wakati mwingine hujifunika mashuka kama wamasai.
Wewe kichwani umejaa gigabyte za mambo ya uzushi na uwongo!Wewe ndo hujui.kajifunze upya.