Tetesi: Tanzania kuna kila dalili Kuna wimbi la COVID-19

Nimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana.

Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.
Hatua haionekani Iko wapi tena
 
Nimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana.

Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.
Mkuu kumbe tuanze kupiga K_VANT na KONYAGI
kupambana na hii coronavirus.....

Tupige NYUNGU...
Natania tu In JPM voice
 
Kama CORONA ilishindwa kipindi kile sidhani kama itakuja tena
Kma unaona CORONA ipo chukua tahadhari wewe na famiria yako kaa mita 10 vaa mask nawa maji tililika nk

Hosptari kuwepo mitungi ya gesi ni kawaida
na kama unaona mitungi ya gesi mingi ni jambo zuri sana serikali kuwa na uhakika wa AFYA za watanzania
sasa wewe ulitaka uone mitungi ya pombe au
 
Nimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana.

Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.
Hiyo ngoma ilipiga December na January kimyakimya hata mimi haikiniacha
 
Kama CORONA ilishindwa kipindi kile sidhani kama itakuja tena kama vilr
Kma unaona CORONA ipo chukua tahadhari wewe na famiria yako kaa mita 10 vaa mask nawa maji tililika nk

Hosptari kuwepo mitungi ya gesi ni kawaida na unaona mitungi ya gesi ni jambo zuri sana wewe ulitaka uone mitungi ya pombe au
Corona ilishindwa? Pamoja na kuua Rais wako wewe unaona ilishindwa?

Kweli ujinga ni mzigo🤣🤣🤣
 
#covid19 is the most deadliest disease, watu walichanjwa lakini bado haohao waliochanjwa ndio wanaokufa
 
IMG_0800.jpg
 
Naona mmekula mnafuta midomo kwa tishu...tulieni tulishawaona...RIP Membe

Back
Top Bottom