Tetesi: Tanzania kuna kila dalili Kuna wimbi la COVID-19

Ni kweli Covid ipo nimeugua last week nimekutwa na Covid +
 
Nimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana.

Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.
Unataka kuaminisha mtu wenu kaondoka na kisichoonekana? Mbona alichanja tena hadharani wananchi tukioneshwa? hilo wimbi lako ni la ngapi? Maana mawimbi yanatakiwa yawe kuanzia 1-12 na jina la wimbi linaitwaje? Je, mitungi ya gesi ya kusaidia kupumua ndio kiashiria chako cha kuwepo kwa wimbi la kisichoonekana? Unataka mwenye kiti cha enzi afanye 'Lock down'?

Akili finye sana
 
Corona ilishindwa? Pamoja na kuua Rais wako wewe unaona ilishindwa?

Kweli ujinga ni mzigo🤣🤣🤣
Mtanzania mpaka afe yeye au ndugu yake wa karibu ndiyo atasema ni pigo. Huu ni ubinafsi mkubwa sana. Korona iliua watanzania wengi sana mpaka rais wa nchi na mawaziri halafu mtu anakoroma kama chungu eti ilishindwa! Labda alitaka nchi nzima ife.
 
Nimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana.

Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.
Kabisa kwani nimekuwa nasikia kifua kubana kwa wiki moja sasa nahisi kuna upepo mmbaya unapita. Tuwe waangalifu.
 
Mtanzania mpaka afe yeye au ndugu yake wa karibu ndiyo atasema ni pigo. Huu ni ubinafsi mkubwa sana. Korona iliua watanzania wengi sana mpaka rais wa nchi na mawaziri halafu mtu anakoroma kama chungu eti ilishindwa! Labda alitaka nchi nzima ife.
Kweli wajinga nchi hii wengi mno! Nilishangaa jinsi Magufuli alivyokuwa anawadanganya watu kuhusu korona, watu ni wajinga mno!
 
Ukirejea toka mihangaiko yako oga maji ya moto/uvuguvu na hasa km kunahali ya mvua. ..hawa wadudu wnatembea km upepo kukiwa nahali hio. ..nawa mikono mara kwa mara in short whenever unapoenda public places kua makini.
 
Nimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana.

Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.
Niliona watu wanavaa mask kimyakimya kumbe mambo yameyumba
 
Ukirejea toka mihangaiko yako oga maji ya moto/uvuguvu na hasa km kunahali ya mvua. ..hawa wadudu wnatembea km upepo kukiwa nahali hio. ..nawa mikono mara kwa mara in short whenever unapoenda public places kua makini.
Napambana na upepo huu kifua kinabana nahisi ni kirus kipya ila naamini ni manageable ila lazima tu kila mtu ataambukizwa walio dhaifu kiafya wataenguliwa ila wenye kinga nzuri wataendelea.
 
Nimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana.

Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.
Jilock down mkuu.. maana kuna watu mnapendaga ujinga sana..
 
Nimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana.

Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.
Ni kweli. Pitia bugando na muhimbili ndio utaujua ukweli. Mitungi na sanitizer kila kona.
 
Back
Top Bottom