peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Hatua haionekani Iko wapi tenaNimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana.
Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.
Asante kwa taarifaNimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana.
Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.
Mkuu kumbe tuanze kupiga K_VANT na KONYAGINimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana.
Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.
Endelea kumchukua tahadhari ukiwa unasubiri picha.Weka picha tuamini maneno yako!
Elli unashangaa nini?Asante kwa taarifa
Hiyo ngoma ilipiga December na January kimyakimya hata mimi haikiniachaNimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana.
Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.
Corona ilishindwa? Pamoja na kuua Rais wako wewe unaona ilishindwa?Kama CORONA ilishindwa kipindi kile sidhani kama itakuja tena kama vilr
Kma unaona CORONA ipo chukua tahadhari wewe na famiria yako kaa mita 10 vaa mask nawa maji tililika nk
Hosptari kuwepo mitungi ya gesi ni kawaida na unaona mitungi ya gesi ni jambo zuri sana wewe ulitaka uone mitungi ya pombe au
Watanzania walichanjwaNimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana.
Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.
Haya BM alikuwa amechanjwaWatanzania walichanjwa
Acha kuchukua tahadhari utamwelewaWeka picha tuamini maneno yako!
Nimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana.
Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.