Tetesi: Tanzania kuna kila dalili Kuna wimbi la COVID-19

Mtanzania mpaka afe yeye au ndugu yake wa karibu ndiyo atasema ni pigo. Huu ni ubinafsi mkubwa sana. Korona iliua watanzania wengi sana mpaka rais wa nchi na mawaziri halafu mtu anakoroma kama chungu eti ilishindwa! Labda alitaka nchi nzima ife.
Hawajielewei.
 
Nimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana.

Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.
Tunamsubiria Dada Ummy atoe tamko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…