Tanzania kuna shule iliyojengwa pembezoni mwa bahari, ziwa au mto?

Tanzania kuna shule iliyojengwa pembezoni mwa bahari, ziwa au mto?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Tanzania kuna shule zozote za msingi na sekondari ambazo zimejengwa pembezoni ya bahari, ziwa au mto kwenye mazingira ya kuvutia ambapo wanafunzi wanaweza kuwa wanasoma huku wanatazama maji?
 
Tanzania kuna shule zozote za msingi na sekondari ambazo zimejengwa pembezoni ya bahari, ziwa au mto kwenye mazingira ya kuvutia ambapo wanafunzi wanaweza kuwa wanasoma huku wanatazama maji?
Geita ipo NKOME S/M
Mara ipo Morembe Sekondari nadhan hii haina mpinzani kwa Beach view nzuri
 
Ipo, inaitwa costantino secondary school, ipo kando ya ziwa kindai manispaa ya singida. Ni shule ya binafsi
 
Bwiru boys kitangiri moja unadoma ukichpka unaenda kupigwa upepo ziwani

Moshi Tech unasoma ukichoka unautizama mlima kilimanjaro kibo plus mawenzi

Ilboru unakula ukishiba unaenda kuosha sahani mtoni
 
Back
Top Bottom