Tanzania kuna uhaba mkubwa sana wa Competent Computer Scientist

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,617
Reaction score
10,205
Kuna project tunafanya tumetafuta watu competent wa computer science hatujapata huwa najiuliza hao graduate wa kila siku wanaenda wapi?

Ndo maana nimekuja elewa kwanin makampuni mengine yanaenda kutafuta watu nje ya nchi kwa Hali hii vijana wetu na mfumo wa elimu inabid uangaliwe sana
 
Competent Computer Scientist Tumeshakula mashavu tumetulia maofisini.. Hao unaowaona mtaani hawakuwa serious kipindi wako masomoni, 🤔 inakuwaje Cs mzima huna Certification hata Moja...... 😊😊😊
 
Tupo mtaani wewee
 
Certification ya nini, hivyo ni vigezo tu mnavyojiwekea.

Kuna matangazo ya kazi za IT mnataka watu wawe na degree kipindi hicho baadae kwenye kazi flani mkataka wawe na project walizofanya baadae certification Enh!, Bongo nyoso.

Mbona kuna jamaa wanazo na hawana lolote.

Wengi wana concept tu
 
Mimi sio HR waulize wao wanamajibu yako.....🤣🤣🤣🤣🤣 But By your take mfano CPA Certifications za NBAA ni best kwa every Public Accountant na Kwenye Computer science vivyo hivyo..
 
Inasikitisha!😂, na inafurahisha pia

Wazee wa misamiati mikubwa😀, ila matokeo sasa haya bana.
 
Punguza depression na anxiety ndio ujenge hoja.... Usipende kuharibu siku za watu 🤡
 
Nje ya mada ila ndani ya mada....

Ni vyema sasa tuwe tunaambizana masomo au courses za kusoma watoto.

Wazazi wengi wetu sio wote hatuna ufahamu mzuri wa course ambazo ni hot cake na za muda mrefu au ambazo zitakuwa hot cake kwa baadae.

Pia wengi elimu ilikuwa au ndogo au ya Kati hivyo tunajikuta tunapenda wapate elimu iwakomboe ila hatujui tuwashauri kipi na kipi.

So kabla ya kulaumu tujaribu kupeana elimu ili vizazi vyetu viwe na ujuzi tusubiri waajiriwa kutoka nchi za wenzetu.
 
Sema hapa inategemeana na mtoto mwenyewe, kama mtu hapendi PCM sio vizuri kumlazimisha. Na serikali imeanzisha masomo ya PMC (physics, maths na comp) lakini shule bado chache mno. Bora kama mtu anapenda CS na kahela kapo upige shortcut tu.
 
Yeah ndio maana nimesema kumshauri.

Hapo sasa lazima tuangalie na uelewa wa mtoto upo kwenye lipi.
 
Competent Computer Scientist Tumeshakula mashavu tumetulia maofisini.. Hao unaowaona mtaani hawakuwa serious kipindi wako masomoni, 🤔 inakuwaje Cs mzima huna Certification hata Moja...... 😊😊😊
Wakati mwingine professional certifications ni suala la uchumi wa mtu.

Kuna wengi wanakwama kwenye pesa.
 
Nje ya mada ila ndani ya mada....

Ni vyema sasa tuwe tunaambizana masomo au courses za kusoma watoto.

Wazazi wengi wetu sio wote hatuna ufahamu mzuri wa course ambazo ni hot cake na za muda mrefu au ambazo zitakuwa hot cake kwa baadae.

Pia wengi elimu ilikuwa au ndogo au ya Kati hivyo tunajikuta tunapenda wapate elimu iwakomboe ila hatujui tuwashauri kipi na kipi.

So kabla ya kulaumu tujaribu kupeana elimu ili vizazi vyetu viwe na ujuzi tusubiri waajiriwa kutoka nchi za wenzetu.
Kila kozi ina kigezo cha IQ. Sasa toto iq ipo chini unataka lisome farmacy. Lipeleke likakariri kiswahili au historia lipate digrii yake.
Mkuu sio kila kozi ni ya kila mtu, hata ulaya haipo hivyo.
Unataka kusoma physics/udaktar/ Mahesabu wakati kichwa cha panzi.
Kozi nzuri ni kozi ngumu zinazohitaji IQ kubwa na kujituma, watanzania wengi iq zipo chini hivyo kozi zinazotufaa ni kiswahili, uhasibu,hr,historia, uchumi. Kilimo , ufugaji, ujasiliamali nk.
Hata miaka 10 ijayo hizo kozi ndio zitaendelea kubeba wtz wengi.
 
Kuna project tunafanya tumetafuta watu competent wa computer science hatujapata huwa najiuliza hao graduate wa kila siku wanaenda wapi?

Ndo maana nimekuja elewa kwanin makampuni mengine yanaenda kutafuta watu nje ya nchi kwa Hali hii vijana wetu na mfumo wa elimu inabid uangaliwe sana
Nenda Chuo Kikuu cha Dar es Salaam; kitengo cha UCC (University Computing Centre) halafu ulizia mtu mmoja anaitwa Mtui. Akishindwa kukusaidia na huyo; inabidi sasa case yako iwe referral labda upate msaada nje ya mipaka ya nchi. Unless kama pengine project yako atashindwa kui-approve kwa sababu inaweza ikawa haiko katika level ambayo yeye kawaida huwa anafanya kazi.. Hata hivyo, kama una uhakika wa kumlipa, I'm sure kazi yako itafanyika
 
Wakati mwingine professional certifications ni suala la uchumi wa mtu.

Kuna wengi wanakwama kwenye pesa.
No no futa hio mindset kijana kuna Certification kubwa na ni free kuzipata na zinafanya CV yako kuwa Great
 
Back
Top Bottom