Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,613
Wangapi hao wengi?Mim sijajimwambafai nimeongea uhalisia wa kitu ambacho nimeexperience, uwezo wa watanzania wengi ni mdogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangapi hao wengi?Mim sijajimwambafai nimeongea uhalisia wa kitu ambacho nimeexperience, uwezo wa watanzania wengi ni mdogo
Wakenya, wa SA, wa Nigeria uliowataja mbona hawajafanya kitu kilichosambaa dunia nzima, kama hiyo mitandao na apps ulizo zitaja.Nimefuatilia michango mingi sana, nachokiona watu wengi wana mu attack mtoa uzi. Tukubaliane kwamba hatufanani katika mitazamo ya kila kitu kwa 100%.
Mimi naamini;
Watanzania wengi bado hatujaweza ku excel ktk sekta nyingi kama sio zote.
Hakuna watu competent to the level waweze ku compete na Nigerians,SA,Egypt,Kenya hapo siongelei nje ya Africa.
Ili kuweza kuthibitisha kwamba Mtanzania ni mahiri kazima aonyeshe kitu alichofanya ktk ngazi ya kitaifa na kimataifa na ni cha mfano kwa watu wote.
Nyie watu wa IT mmejitahidi sana mmeunda App,Website,Blog, Database(ARIS) nk.
Project kubwa nyingi kama Ubber,Tiktok,Facebook, Zoom,Tweeter , github,quora hazijawahi kuanzia TZ bali hukopiwa/implemented na watanzania tu.
Leo tuna crpto currency, Digital school, AI nk vyote vimeanzia Ulaya,USA na Asia.
Unawezaje kunishawishi kuna watanzania ni mahiri huku hawana innovation kubwa iliotokisa dunia hata moja.
Wazungu leo wakifungia Software zao kum#@mae tutatafutana kwa tochi. Acheni kukuza uongo kuwa kweli.
Kama mnazungumzia umahiri wa kuunda tumifumo ambato tuliisha undwa(copy paste) sawa ila new innovation huo umahiri hamna na bado sana.
M-pesa imevumbuliwa kenya imesambaa Africa na Asia unataka nini kungine. Do y ou think M-pesa is a small innivation?Wakenya, wa SA, wa Nigeria uliowataja mbona hawajafanya kitu kilichosambaa dunia nzima, kama hiyo mitandao na apps ulizo zitaja.
Wakati mwingine professional certifications ni suala la uchumi wa mtu.
Kuna wengi wanakwama kwenye pesa.
Tunajadili umahiri wa TZ, prove their competency!Wakenya, wa SA, wa Nigeria uliowataja mbona hawajafanya kitu kilichosambaa dunia nzima, kama hiyo mitandao na apps ulizo zitaja.
Okay wakenya na wa-Nigeria?.M-pesa imevumbuliwa kenya imesambaa Africa na Asia unataka nini kungine. Do y ou think M-pesa is a small innivation?
Certification hazimaanishi chochote (atleast in some fields) project ndio zinazo matter. Sijawahi kuona tutorial yoyote ya udemy au freecodecamp ikifika mwishoni inasema "make sure you get a certification from google after finishing this android dev course" (kwa vitu nilivyosoma). kwa maoni yangu sio kila kitu kwenye tech kinahitaji certification kuna ambavyo kuwa na certification inafaa zaidi kama networking lakini sidhani kama ni lazima. Lakini vitu kama webdev ambavyo vinaonekana sidhani kama certification ni muhimu.Na kutokuwa serious pia inachangia. Unakuta kijana kamaliza CS degree badala ya kupambana apate certification kadhaa yeye anapambana kununua Subaru ya kuwanasia mademu.
Imevumbuliwa na Mkenya anayeitwa nani?M-pesa imevumbuliwa kenya imesambaa Africa na Asia unataka nini kungine. Do y ou think M-pesa is a small innivation?
How do you prove competency of the people of the whole Nation?Tunajadili umahiri wa TZ, prove their competency!
Wewe umeona mbali.Certification hazimaanishi chochote (atleast in some fields) project ndio zinazo matter. Sijawahi kuona tutorial yoyote ya udemy au freecodecamp ikifika mwishoni inasema "make sure you get a certification from google after finishing this android dev course" (kwa vitu nilivyosoma). kwa maoni yangu sio kila kitu kwenye tech kinahitaji certification kuna ambavyo kuwa na certification inafaa zaidi kama networking lakini sidhani kama ni lazima. Lakini vitu kama webdev ambavyo vinaonekana sidhani kama certification ni muhimu.
Kweli kabisa mkuu, Kwasababu ndio game yao inabidi tuicheze ivyo ivyo. Lakini mimi muda wa kutafuta izo certification bora nijifue.Wewe umeona mbali.
Umeona jinsi mtu anavyoweza kupata ujuzi wa kumwezesha kujiajiri pia.
Watu wa certification wameangalia upande mmoja tu wa kuajiriwa. Which is not bad but that does not mean they are highly skilled and most competent.
Kwa wabongo wengi certification wanaitumia kama endorsement na siyo njia ya kuwa competent kwenye field husika.
I had to help some friends tena kwa kunilipa pesa kwenye vitu walivyokuwa certified wakaajiriwa na mimi sikuwa certified kwa hivyo vitu. Who was competent then? Though nami nilikuwa nimeajiriwa sehemu nyingine.
But in retrospective or let say hindsight I would advice young fellas to get as many certifications as they can. Because it's the tangible proof you are a professional on that field. A professional but not necessarily a most competent person in the field. Una washawishi kirahisi wakuite kwenye interviews kirahisi kuliko kuwaeleza kwa maneno(maandishi) yako tu kwenye CV kwamba upo vizuri. First impression matters ...
M-pesa imeanza kutumika kenya lakini sidhani kama imetengenezwa kenya wala na wakenya(sina uhakika), lakini quick google search inaonyesha founder wake ni Nick Hughes. Na Safaricom na Vodacom wanalipa licensing fee kwa vodafone.M-pesa imevumbuliwa kenya imesambaa Africa na Asia unataka nini kungine. Do y ou think M-pesa is a small innivation?
M pesa imevumbuliwa kenya??, system ya lipa kwa control number i etengenezwa na watanzania je ni small innivation?M-pesa imevumbuliwa kenya imesambaa Africa na Asia unataka nini kungine. Do y ou think M-pesa is a small innivation?
Haujui unacho kiongea, NALA imetegenezwa na wajerumani??Tunajadili umahiri wa TZ, prove their competency!
Farmacy tena..[emoji23][emoji23][emoji23]Kila kozi ina kigezo cha IQ. Sasa toto iq ipo chini unataka lisome farmacy. Lipeleke likakariri kiswahili au historia lipate digrii yake.
Mkuu sio kila kozi ni ya kila mtu, hata ulaya haipo hivyo.
Unataka kusoma physics/udaktar/ Mahesabu wakati kichwa cha panzi.
Kozi nzuri ni kozi ngumu zinazohitaji IQ kubwa na kujituma, watanzania wengi iq zipo chini hivyo kozi zinazotufaa ni kiswahili, uhasibu,hr,historia, uchumi. Kilimo , ufugaji, ujasiliamali nk.
Hata miaka 10 ijayo hizo kozi ndio zitaendelea kubeba wtz wengi.
The way ambavyo mfumo wa dunia umekuwa designed hauruhusu muafrika aje na new innovation na hata ikitokea amepambana Sana watatafuta njia ya kumbana tuu..Nimefuatilia michango mingi sana, nachokiona watu wengi wana mu attack mtoa uzi. Tukubaliane kwamba hatufanani katika mitazamo ya kila kitu kwa 100%.
Mimi naamini;
Watanzania wengi bado hatujaweza ku excel ktk sekta nyingi kama sio zote.
Hakuna watu competent to the level waweze ku compete na Nigerians,SA,Egypt,Kenya hapo siongelei nje ya Africa.
Ili kuweza kuthibitisha kwamba Mtanzania ni mahiri kazima aonyeshe kitu alichofanya ktk ngazi ya kitaifa na kimataifa na ni cha mfano kwa watu wote.
Nyie watu wa IT mmejitahidi sana mmeunda App,Website,Blog, Database(ARIS) nk.
Project kubwa nyingi kama Ubber,Tiktok,Facebook, Zoom,Tweeter , github,quora hazijawahi kuanzia TZ bali hukopiwa/implemented na watanzania tu.
Leo tuna crpto currency, Digital school, AI nk vyote vimeanzia Ulaya,USA na Asia.
Unawezaje kunishawishi kuna watanzania ni mahiri huku hawana innovation kubwa iliotokisa dunia hata moja.
Wazungu leo wakifungia Software zao kum#@mae tutatafutana kwa tochi. Acheni kukuza uongo kuwa kweli.
Kama mnazungumzia umahiri wa kuunda tumifumo ambato tuliisha undwa(copy paste) sawa ila new innovation huo umahiri hamna na bado sana.
Elon musk angepewa sapoti angetoboa shida ni urasimu na umangi meza wa waafrika.The way ambavyo mfumo wa dunia umekuwa designed hauruhusu muafrika aje na new innovation na hata ikitokea amepambana Sana watatafuta njia ya kumbana tuu..
Ndo maana wahindi wengi wakitaka kutoboa kwenye tech industry wanalimbilia Silicone Valley Mmarekani.. hapa afrika ni sehemu inatumika kuvuna data tuu huu Ndio ukweli mchungu.
Hakuna tofauti na Zama za ukoloni..
Elon Musk angebaki Afrika asingetoboa kabisa