Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Competent Computer Scientist Tumeshakula mashavu tumetulia maofisini.. Hao unaowaona mtaani hawakuwa serious kipindi wako masomoni, π€ inakuwaje Cs mzima huna Certification hata Moja...... πππKuna project tunafanya tumetafuta watu competent wa computer science hatujapata huwa najiuliza hao graduate wa kila siku wanaenda wapi?
Ndo maana nimekuja elewa kwanin makampuni mengine yanaenda kutafuta watu nje ya nchi kwa Hali hii vijana wetu na mfumo wa elimu inabid uangaliwe sana
Tupo mtaani weweeKuna project tunafanya tumetafuta watu competent wa computer science hatujapata huwa najiuliza hao graduate wa kila siku wanaenda wapi?
Ndo maana nimekuja elewa kwanin makampuni mengine yanaenda kutafuta watu nje ya nchi kwa Hali hii vijana wetu na mfumo wa elimu inabid uangaliwe sana
Certification ya nini, hivyo ni vigezo tu mnavyojiwekea.Competent Computer Scientist Tumeshakula mashavu tumetulia maofisini.. Hao unaowaona mtaani hawakuwa serious kipindi wako masomoni, π€ inakuwaje Cs mzima huna Certification hata Moja...... πππ
Mimi sio HR waulize wao wanamajibu yako.....π€£π€£π€£π€£π€£ But By your take mfano CPA Certifications za NBAA ni best kwa every Public Accountant na Kwenye Computer science vivyo hivyo..Certification ya nini, hivyo ni vigezo tu mnavyojiwekea.
Kuna matangazo ya kazi za IT mnataka watu wawe na degree kipindi hicho baadae kwenye kazi flani mkataka wawe na project walizofanya baadae certification Enh!, Bongo nyoso.
Mbona kuna jamaa wanazo na hawana lolote.
Wengi wana concept tu
Inasikitisha!π, na inafurahisha piaMimi sio HR waulize wao wanamajibu yako.....π€£π€£π€£π€£π€£ But By your take mfano CPA Certifications za NBAA ni best kwa every Public Accountant na Kwenye Computer science vivyo hivyo..
Punguza depression na anxiety ndio ujenge hoja.... Usipende kuharibu siku za watu π€‘Inasikitisha!π, na inafurahisha pia
Wazee wa misamiati mikubwaπ, ila matokeo sasa haya bana.
Sawa siku njema, mzee wa certificationPunguza depression na anxiety ndio ujenge hoja.... Usipende kuharibu siku za watu π€‘
Sema hapa inategemeana na mtoto mwenyewe, kama mtu hapendi PCM sio vizuri kumlazimisha. Na serikali imeanzisha masomo ya PMC (physics, maths na comp) lakini shule bado chache mno. Bora kama mtu anapenda CS na kahela kapo upige shortcut tu.Nje ya mada ila ndani ya mada....
Ni vyema sasa tuwe tunaambizana masomo au courses za kusoma watoto.
Wazazi wengi wetu sio wote hatuna ufahamu mzuri wa course ambazo ni hot cake na za muda mrefu au ambazo zitakuwa hot cake kwa baadae.
Pia wengi elimu ilikuwa au ndogo au ya Kati hivyo tunajikuta tunapenda wapate elimu iwakomboe ila hatujui tuwashauri kipi na kipi.
So kabla ya kulaumu tujaribu kupeana elimu ili vizazi vyetu viwe na ujuzi tusubiri waajiriwa kutoka nchi za wenzetu.
Yeah ndio maana nimesema kumshauri.Sema hapa inategemeana na mtoto mwenyewe, kama mtu hapendi PCM sio vizuri kumlazimisha. Na serikali imeanzisha masomo ya PMC (physics, maths na comp) lakini shule bado chache mno. Bora kama mtu anapenda CS na kahela kapo upige shortcut tu.
Wakati mwingine professional certifications ni suala la uchumi wa mtu.Competent Computer Scientist Tumeshakula mashavu tumetulia maofisini.. Hao unaowaona mtaani hawakuwa serious kipindi wako masomoni, π€ inakuwaje Cs mzima huna Certification hata Moja...... πππ
Kila kozi ina kigezo cha IQ. Sasa toto iq ipo chini unataka lisome farmacy. Lipeleke likakariri kiswahili au historia lipate digrii yake.Nje ya mada ila ndani ya mada....
Ni vyema sasa tuwe tunaambizana masomo au courses za kusoma watoto.
Wazazi wengi wetu sio wote hatuna ufahamu mzuri wa course ambazo ni hot cake na za muda mrefu au ambazo zitakuwa hot cake kwa baadae.
Pia wengi elimu ilikuwa au ndogo au ya Kati hivyo tunajikuta tunapenda wapate elimu iwakomboe ila hatujui tuwashauri kipi na kipi.
So kabla ya kulaumu tujaribu kupeana elimu ili vizazi vyetu viwe na ujuzi tusubiri waajiriwa kutoka nchi za wenzetu.
Nenda Chuo Kikuu cha Dar es Salaam; kitengo cha UCC (University Computing Centre) halafu ulizia mtu mmoja anaitwa Mtui. Akishindwa kukusaidia na huyo; inabidi sasa case yako iwe referral labda upate msaada nje ya mipaka ya nchi. Unless kama pengine project yako atashindwa kui-approve kwa sababu inaweza ikawa haiko katika level ambayo yeye kawaida huwa anafanya kazi.. Hata hivyo, kama una uhakika wa kumlipa, I'm sure kazi yako itafanyikaKuna project tunafanya tumetafuta watu competent wa computer science hatujapata huwa najiuliza hao graduate wa kila siku wanaenda wapi?
Ndo maana nimekuja elewa kwanin makampuni mengine yanaenda kutafuta watu nje ya nchi kwa Hali hii vijana wetu na mfumo wa elimu inabid uangaliwe sana
No no futa hio mindset kijana kuna Certification kubwa na ni free kuzipata na zinafanya CV yako kuwa GreatWakati mwingine professional certifications ni suala la uchumi wa mtu.
Kuna wengi wanakwama kwenye pesa.