Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema kweli kabisa mkuu au unadanganya?Tanzania kuna uhaba wa WATU wenye potential haitokaa itokee hii nchi isonge mbele.
Angalia majina majina yanayotawala katika siasa ni yale yale iwe upinzani au sisiemu.
Je wewe huna akili mbona hujajitokeza kipambana na Mbowe au Samia?......ukweli ni kwamba mfumo wa nchi hi hauruhusu vipaji vipya kuibuliwa ila vipo vingi tuTanzania kuna uhaba wa WATU wenye potential haitokaa itokee hii nchi isonge mbele.
Angalia majina yanayotawala katika siasa ni yale yale iwe upinzani au sisiemu.
mimi Nina run business na nafikiria kutoa Ajira nyingi Sana Kwa waswahili Kama nyie kila mwaka.Je wewe huna akili mbona hujajitokeza kipambana na Mbowe au Samia?......ukweli ni kwamba mfumo wa nchi hi hauruhusu vipaji vipya kuibuliwa ila vipo vingi tu
Tuna watu wenye uwezo mkubwa wa kujizima data a.k.a kuahirisha kufikiri kizalendoTanzania kuna uhaba wa WATU wenye potential haitokaa itokee hii nchi isonge mbele.
Angalia majina yanayotawala katika siasa ni yale yale iwe upinzani au sisiemu.
Kama hamjitokezi tufanyeje sisi!Tanzania kuna uhaba wa WATU wenye potential haitokaa itokee hii nchi isonge mbele.
Angalia majina yanayotawala katika siasa ni yale yale iwe upinzani au sisiemu.
Nchi zote za Africa hazina uhaba wa watu wenye akili Ila haina mifumo ya kuvigundua vipaji na kuviendeleza.
Na hii inafanyika makusudi kwa sababu future ya nchi huwa sio muhimu kuliko kubakiza mifumo inayowanufaisha wachache madarakani.
Mbaya zaidi kwa wale wachache wenye misuli ya kiuchumi na akili kichwani hugeuzwa maadui wa nchi kwa sababu uzalendo hutafsiriwa kama mfumo wa kulinda watu wenye mamlaka na si nchi, kama wenzetu walioendelea
Mwenye akili ni RostamTanzania kuna uhaba wa WATU wenye potential haitokaa itokee hii nchi isonge mbele.
Angalia majina yanayotawala katika siasa ni yale yale iwe upinzani au sisiemu.
Kama hawataki kuthubutu tufanyeje wanalalamika kwenye mablanketi na mashukaMnaokoteza sio?
Tunakutegemea utukomboe kama wakina mandela walivyofanya kipind hikoTanzania kuna uhaba wa WATU wenye potential haitokaa itokee hii nchi isonge mbele.
Angalia majina yanayotawala katika siasa ni yale yale iwe upinzani au sisiemu.