Hao waliodominate waliibuliwa na nani?Je wewe huna akili mbona hujajitokeza kipambana na Mbowe au Samia?......ukweli ni kwamba mfumo wa nchi hi hauruhusu vipaji vipya kuibuliwa ila vipo vingi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao waliodominate waliibuliwa na nani?Je wewe huna akili mbona hujajitokeza kipambana na Mbowe au Samia?......ukweli ni kwamba mfumo wa nchi hi hauruhusu vipaji vipya kuibuliwa ila vipo vingi tu
It's right to say rip saanane and sokaNchi zote za Africa hazina uhaba wa watu wenye akili Ila haina mifumo ya kuvigundua vipaji na kuviendeleza.
Na hii inafanyika makusudi kwa sababu future ya nchi huwa sio muhimu kuliko kubakiza mifumo inayowanufaisha wachache madarakani.
Mbaya zaidi kwa wale wachache wenye misuli ya kiuchumi na akili kichwani hugeuzwa maadui wa nchi kwa sababu uzalendo hutafsiriwa kama mfumo wa kulinda watu wenye mamlaka na si nchi, kama wenzetu walioendelea