Nchi zote za Africa hazina uhaba wa watu wenye akili Ila haina mifumo ya kuvigundua vipaji na kuviendeleza.
Na hii inafanyika makusudi kwa sababu future ya nchi huwa sio muhimu kuliko kubakiza mifumo inayowanufaisha wachache madarakani.
Mbaya zaidi kwa wale wachache wenye misuli ya kiuchumi na akili kichwani hugeuzwa maadui wa nchi kwa sababu uzalendo hutafsiriwa kama mfumo wa kulinda watu wenye mamlaka na si nchi, kama wenzetu walioendelea