Tanzania Kuna watu wababe Sana kama kina Mafwele

Tanzania Kuna watu wababe Sana kama kina Mafwele

Eti Leo stergomena tax aende kumuhoji CDF kuhusu order to kill ilitoka wapi?

Ok tuseme sasa wamemuhoji na akasema ilitoka kwa aliye wateua watafanya Nini?

Huu ni UJINGA kuwahi kutokea hapa tz. Hata hivyo acha wale posho zinazotokaana na Kodi za wajinga wa kitanganyika


Yaani tunafanywa mandondocha na mazwazwa hivi hivi tunajiona, hivi shida ni Nini kinachotusumbua watanganyika??? Huu ujinga wakenya wasingekubali kingewaka Sana, ila sisi huku yaani tunafanywa kama mandondocha hatujielewi, huu ujinga haikubaliki tuukatae.
 
Back
Top Bottom