Tanzania Kuna watu wababe Sana kama kina Mafwele



Yaani tunafanywa mandondocha na mazwazwa hivi hivi tunajiona, hivi shida ni Nini kinachotusumbua watanganyika??? Huu ujinga wakenya wasingekubali kingewaka Sana, ila sisi huku yaani tunafanywa kama mandondocha hatujielewi, huu ujinga haikubaliki tuukatae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…