Tanzania kupanda kuwa uchumi wa kati chini: Mkapa amechangia 194%; JK 96% na Magufuli 10%

Mkuu asilimia zinacheza kati ya 0 hadi 100. Rekebisha siweke ndani ya 100
Mtu yoyote makini akiona hizo asilimia zake inakuwa ngumu sana kuchukulia uchambuzi wake wote serious kama hesabu za msingi tu shida.

Pili watu inabidi tujifunze namna ya kufanya uchambuzi na kutoa sababu sahihi 2016-17 Magu alikuwa bado ajaeleweka duniani kipindi hiko alikuwa anapambana na kubadilisha mikataba iwe yenye faida ya pande zote. Kwa logic ya kawaida tu FDI lazima zipungue wakati watu wanafanya tathmini zao kwanza hatua zake zinalenga nini ni safisha uchafu au ndio ujamaa na kuanza kupokonyana investment.

Pili Kulikuwa na mafisadi pia ambao baadhi walikuwa wanatoa pesa Tanzania na kupeleka nje ya nchi na contribution ya GNI ni difference ya inflow and outflow of earned income. Lakini 2018 watu wamerudisha confidence na ukuaji wa mbeleni uta reflect previous admin trends if not pace up.
 
Sasa kama walichangia kwa kiasi kikubwa hicho kwa nini haikupanda kuwa uchumi wa kati wakati wa tawala zilizopita. Mnajua ukitaka kuwa mjinga sio lazima umalize form six
 
Kwahyo source ni shot toka whatsapp maana huko WB mtandaoni haionekani
 
CHADEMA wamekuwa wapiga kampeni wa CCM!

Hayo yote ni mafanikio ya CCM kupitia serikali zake!

Tanzania hatuna vyama vya upinzani bali tuna wanaharakati!
Asilimia 75 ya nchi zote ambazo Ni mwanachama wa World Bank zilikuwa kwenye Lower Middle Income tayari kabla ya Tanzania.
Zimbabwe pamoja na kuwekewa vikwazo muda mrefu ilishaingia kwenye hili kundi kabla hata ya Tz iliyokuwa haina vikwazo vyovyote

Yaani Tanzania imechelewa sana kuingia lakini tunavyojisifu utadhani sisi ndio wa kwanza.

Cha ajabu zaidi sifa nyingi zaidi anapewa Rais ambaye ndio ana mchango mdogo zaidi kuliko wote kwenye kupandisha pato la Taifa. Na ndio hoja ya huu uzi
 
1593797883691.png
1593797883691.png
 
yaani nyie watu hamueleweki, maneno yote hayo ili mradi ionekane Magufuli kachangia kidogo?

Upinzani wa kijinga kabisa.

Hapa chini ni historical trend (source ni World Bank) ya ongezeko la per capita income kwa Tanzania kuanzia awamu ya 3 (Mkapa), halafu ya 4 (JK ) hadi ya sasa ya 5 (Magufuli).

Ni wazi kuwa kila rais katika awamu hizo 3 amechangia kwa kiasi kikubwa kuifikisha Tanzania katika uchumi wa kati chini.

Mkapa: ongezeko la 194% (sawasawa na $ 330)

JK: ongezeko la 96% (sawasawa na $ 480)

Magufuli: ongezeko la 10% (sawasawa na $ 100)

In terms of %, aliyeongoza ni Mkapa na mwisho ni Magufuli.

In terms of absolute figures, aliyeongoza ni JK na wa mwisho ni Magufuli.

Nawaomba Watanzania tuwatambue vinara (walioongoza yaani Mkapa & JK) waliotufikisha hatua hii. Mungu awabariki sana hawa wazee wetu marais wastaafu.

View attachment 1496609
 
Soma jedwali hapo

Kilwete kaacha GNI 980.

Magufuli kaingia ikashuka toka 980 hadi 970 kwa sera zake mbovu.

Baada ya kushauriwa na wazee ndio gni ikapanda hadi 1080.
yaani nyie watu hamueleweki, maneno yote hayo ili mradi ionekane Magufuli kachangia kidogo?

Upinzani wa kijinga kabisa.
 
yaani nyie watu hamueleweki, maneno yote hayo ili mradi ionekane Magufuli kachangia kidogo?

Upinzani wa kijinga kabisa.
ni facts tu comrade, hakuna anayesingiziwa kitu hapa!
 
Kumbe Mkapa ni Chadema?
ni CCM yetu ile ile.
argument hapa ni rais yupi wa CCM amechangia pakubwa kwa Tanzania kuingia uchumi wa kati chini? definitely jibu ni marais wa awamu ya 3 na ya 4!
 
Hapa chini ni historical trend (source ni World Bank) ya ongezeko la per capita income kwa Tanzania kuanzia awamu ya 3 (Mkapa), halafu ya 4 (JK ) hadi ya sasa ya 5 (Magufuli).

Ni wazi kuwa kila rais katika awamu hizo 3 amechangia kwa kiasi kikubwa kuifikisha Tanzania katika uchumi wa kati chini.

Mkapa: ongezeko la 194% (sawasawa na $ 330)

JK: ongezeko la 96% (sawasawa na $ 480)

Magufuli: ongezeko la 10% (sawasawa na $ 100)

In terms of %, aliyeongoza ni Mkapa na mwisho ni Magufuli.

In terms of absolute figures, aliyeongoza ni JK na wa mwisho ni Magufuli.

Nawaomba Watanzania tuwatambue vinara (walioongoza yaani Mkapa & JK) waliotufikisha hatua hii. Mungu awabariki sana hawa wazee wetu marais wastaafu.

View attachment 1496609

Mh. Magufuli ana miaka 5 tu, Mkapa na Kikwete 10 yrs each walimaliza.. Sio sahihi kufanya comparison sasa hivi.. So mathematically you are totally wrong, subiria mwishoni 2025 ndio uweke data zako..!!
 
Pamoja na hayo yote uliyoyaweka.Jambo moja ni lazima tujiulize.
-WHY NOW just before General Election this middle income subject has just emerged?
-Kwa NINI JAMBO HILI la "UCHUMI wa KATI" ndo LIMETOKEA kabla ya UCHAGUZI MKUU?
Jibu ni kuwa TAYARI jamii ya KIMATAIFA imemkubali rais Magufuli na hiII ni kutoa "INDIRECT ENDORSEMENT"
kwamba huyu ANAIFAA Tanzania.

Na Wangependa kufanya kazi naye maana wameiona juhudi zake.
Kama wewe ni pundits/Mchambuzi wa mambo ya kimataifa unielewa. Na kama sivyo itakuwa hutanielewa kuwa ninasema nini.

IMPORTANT/LA NUHIMU sana:
Hapa si mambo ya KUWADHARIRISHA, Mwal.NYERERE, MKAPA, MWINYI wa KIKWETE, maana nao pia walitoa MCHANGO mkubwa katika taifa hili . ISIPOKIWA hii ni kuwa international community/Jamii ya Kimataifa IMEMKUBALI JPM
Na hili limekuja kabla ya uchaguzi likiwaambia Watanzania
"MAGUFULI NDO SULUHISHO LA NCHI YENU MCHAGUENI TENA."
sawa comrade.
tunaongea kitu kimoja ila sema wewe unatumia assumptions wakati wengine tunatumia facts kutoka reliable sources.
 
Hapa chini ni historical trend (source ni World Bank) ya ongezeko la per capita income kwa Tanzania kuanzia awamu ya 3 (Mkapa), halafu ya 4 (JK ) hadi ya sasa ya 5 (Magufuli).

Ni wazi kuwa kila rais katika awamu hizo 3 amechangia kwa kiasi kikubwa kuifikisha Tanzania katika uchumi wa kati chini.

Mkapa: ongezeko la 194% (sawasawa na $ 330)

JK: ongezeko la 96% (sawasawa na $ 480)

Magufuli: ongezeko la 10% (sawasawa na $ 100)

In terms of %, aliyeongoza ni Mkapa na mwisho ni Magufuli.

In terms of absolute figures, aliyeongoza ni JK na wa mwisho ni Magufuli.

Nawaomba Watanzania tuwatambue vinara (walioongoza yaani Mkapa & JK) waliotufikisha hatua hii. Mungu awabariki sana hawa wazee wetu marais wastaafu.

View attachment 1496609
Ngoja wasukuma wakusikie ??
 
Mh. Magufuli ana miaka 5 tu, Mkapa na Kikwete 10 yrs each walimaliza.. Sio sahihi kufanya comparison sasa hivi.. So mathematically you are totally wrong, subiria mwishoni 2025 ndio uweke data zako..!!
tunafanya analysis sasa hivi kwa vile tunaangalia hatua mpya ambayo nchi imeingia sasa hivi - yaani ni nani kachangia pakubwa kutufikisha hapa tulipofika leo? jibu ni Mkapa na JK!

kama JPM atatuvusha hatua nyingine by 2025 - yaani endapo naye atachangia pakubwa kutufanya tuingie hatua nyingine (yaani uchumi wa kati juu), naye tutampa credit yake kama tunayowapa watangulizi wake.

tupo fair comrade!
 
You are not fair, sbb umesha mhukumu kwa miaka 5 kuwa kachangia kidogo kutufikisha MICs, sio fair ku compare na 10 yrs kwa kila mmoja ya watangulizi wake. Nadhani unaelewa kosa lako, hakuna usahihi wa ulinganisho kwa sasa.
 
Hapa chini ni historical trend (source ni World Bank) ya ongezeko la per capita income kwa Tanzania kuanzia awamu ya 3 (Mkapa), halafu ya 4 (JK ) hadi ya sasa ya 5 (Magufuli).

Ni wazi kuwa kila rais katika awamu hizo 3 amechangia kwa kiasi kikubwa kuifikisha Tanzania katika uchumi wa kati chini.

Mkapa: ongezeko la 194% (sawasawa na $ 330)

JK: ongezeko la 96% (sawasawa na $ 480)

Magufuli: ongezeko la 10% (sawasawa na $ 100)

In terms of %, aliyeongoza ni Mkapa na mwisho ni Magufuli.

In terms of absolute figures, aliyeongoza ni JK na wa mwisho ni Magufuli.

Nawaomba Watanzania tuwatambue vinara (walioongoza yaani Mkapa & JK) waliotufikisha hatua hii. Mungu awabariki sana hawa wazee wetu marais wastaafu.

View attachment 1496609
Hivi Rais Mkapa alikaa miaka mingapi madarakani, Rais Kikwete naye miaka mingapi, na Rais Magufuli miaka mingapi? Akinijibu mnistue nirudi kudadavua.

Queen Esther
 
You are not fair, sbb umesha mhukumu kwa miaka 5 kuwa kachangia kidogo kutufikisha MICs, sio fair ku compare na 10 yrs kwa kila mmoja ya watangulizi wake. Nadhani unaelewa kosa lako, hakuna usahihi wa ulinganisho kwa sasa.
kwani Tanzania imeingia kwenye hiyo hatua ya uchumi lini? swali ni nani kachangia pakubwa?

narrative iliyopo kutoka kwa MATAGA ni kuonyesha kuwa impact ya kufikia hatua hiyo imeletwa na awamu hii but facts za namba zinagoma.... zinasema ni awamu za 3 & 4.

ndiyo maana nimesema impact ya awamu ya 5 tutaipima baada ya miaka mingine 5 endapo itatokea tumepanda hatua nyingine.
 
Ccm mmelogwa vibaya, na naamini hamtapona.
Ametoa takwimu za ufanikishaji wa kila mmoja bila kujali muda na hajamuhukumu.

Duu! Mbona hamlalamiki kukosekana kwa jina baba wa taifa?

Baada ya uchaguzi2015 Tb joshua alikuja onana na mtukufu, naamini alimuachia nguvu mbaya ambayo imefanya ccm na watz kuwa pumbafu kabisa
 
kwani Tanzania imeingia kwenye hiyo hatua ya uchumi lini? swali ni nani kachangia pakubwa?

narrative iliyopo kutoka kwa MATAGA ni kuonyesha kuwa impact ya kufikia hatua hiyo imeletwa na awamu hii but facts za namba zinagoma.... zinasema ni awamu za 3 & 4.

ndiyo maana nimesema impact ya awamu ya 5 tutaipima baada ya miaka mingine 5 endapo itatokea tumepanda hatua nyingine.

Mkapa ni CCM

Kikwete ni CCM

Magufuli ni CCM

WW ( usiye na jina ) ni CHADEMA, ww umeandika kwa wivu, humtakii Mh. Magufuli mafanikio, ndio post yako nzima ina portray, acheni chuki zisizo na maana, ww dili na Mbowe, muulize ruzuku zenu ziko wapi, hilo tu linawashinda
 
Back
Top Bottom