M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,039
- Thread starter
- #61
Membe siyo CCM? Kinana? Makamba? Nape?Mkapa ni CCM
Kikwete ni CCM
Magufuli ni CCM
WW ( usiye na jina ) ni CHADEMA, ww umeandika kwa wivu, humtakii Mh. Magufuli mafanikio, ndio post yako nzima ina portray, acheni chuki zisizo na maana, ww dili na Mbowe, muulize ruzuku zenu ziko wapi, hilo tu linawashinda