Tanzania kupeleka vikosi vyake vya kijeshi Msumbiji


Boss wa Jeshi la Mozambique mpk jana amesema Nchini kwao majeshi yanayopiga operation ni 2 tu Rwanda na Mozambique tu,majeshi ya SADC hakuna sehemu yanayo operate nchini humo mpk sasa.
 
afu eti Mh. Mbowe ni gaidi - aiseee CCM nyieee
 
Hivi unaaamini kabisa kwmaba,nchi zote za SADC ziliogopa kupereka wanajeshi,mpaka Rwanda aende kwanza?!!give us a bleak,don't be naive!!!
Vita ya huko ilianza kitambo sana,Rwanda ameenda hatua za mwisho?...
Mkuu nini kimetokea mpaka memba menzetu wa Sadc kusaidiwa na Rwanda wakati wanachama wenzake tupo. Sasa hivi Rwanda ndio inapata credit duniani kuwa imewadhibiti magaidi na hata updates za mapambano wanachukua kutoka kwa Rwanda.

Sijui tulizubaa wapi lakini tukumbuke hawa magaidi wamepakana na sisi, Rwanda hawaaminiki, umeshajiuliza nini kilifanya wakimbilie na hata kuwawhi Sadc?

Baadae tutasikia wapiganaji wamehamia Tanzania wanapigania Mtwara iwe nchi wanadai gesi, uonevu n.k hawa wanatuhumia kusaidia waasi Uganda, Congo na Burundi.
 

Jiulize SADC ilikua wapi kuisaidia Msumbiji tangu 2017 mpk leo?Rais Nyusi amesema wao waliingia agreement na Rwanda na mojawapo ya makubaliano hayo ni khs Security na ndio maana aliwaomba msaada na sasa hivi Zimbabwe,Angola wako na mahusiano poa sana na Rwanda na hata mawaziri wao wa ulinzi walikua kigali muda sio mrefu.

Anaepata tabu sasa hivi ni Afrika kusini maana anaonaga yeye ndie Godfather wa Sadc sasa Rwanda kuongoza hio mission anaumia kishenzi maana anaona role yake ya kuongoza missions mbalimbali inaenda inapotea.
 
Rwanda wanajinasibu kuimaliza hii vita. Pia haijulikani kwa nini Rwanda ilikimbilia huko wakati SADC wakijiandaa kwenda kusaidia. Yasije yakatokea yale ya DRC ambapo Rwanda walichabangana na Uganda!

Umenichekesha ulivyokumbushia mapigano ya rwanda na uganda Kisangani DRC.

Rwanda wanaongozwa na dikteta hivyo maamuzi yao ni chap-chap.

Nchi kama South Africa kabla ya wanajeshi wao kutumwa nje ya nchi inabidi Bunge lao liridhie.

Naamini mazingira hayo ndio yaliyopelekea majeshi ya Rwanda kuwahi kufika Msumbiji kulinganisha na majeshi ya South Africa.
 
Vita haipiganwi kwa historia.
1. Mafunzo bora.
2. Morali ya wapiganaji (Mishahara na marupurupu)
3. Vifaa/ technology.
4. Manpower sahihi.
NK
Sasa bila hivi vitu usitegemee ushindi kwenye medani.
 
Boss wa Jeshi la Mozambique mpk jana amesema Nchini kwao majeshi yanayopiga operation ni 2 tu Rwanda na Mozambique tu,majeshi ya SADC hakuna yanayo operate nchini humo mpk sasa.
Ndio ujue hizi Jumuiya za Kiafrika ni za kinafiki tu, siku yakikukuta ndio kwanza wanaanza kufurahia matatizo yako.

Sisi Waafrika tutaishia kurogana tu.
 

Mkuu story za vijiwe vya kahawa hizo,majeshi ya SADC yapo mozambique na hata rwanda kabla ya kwenda kule cdf wao alikwenda upanga pale kupata baraka zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…