Tanzania kupeleka vikosi vyake vya kijeshi Msumbiji

Tanzania kupeleka vikosi vyake vya kijeshi Msumbiji

Safi sana maana wamozambique walikuwa wanatutilia shaka Kwa kutupeleka jeshi . Msumbiji ana makubaliano ya kijeshi na Rwanda kwahiyo ni wajibu wao kupeleka jeshi Msumbiji
Nalog off
 
Rwanda wapo Muidumbe na Mocimboa da Praia....hawa wa sadc ikiwemo Tanzania wanaenda eneo jingine kunaitwa Pemba Tanzania ndio yenye wanajeshi wengi ni 277
Majeshi yote ya SADC yakiwemo ya Rwanda na Msumbiji yanajikusanya kabla ya kuanza kampeni yaani offensive dhidi ya magaidi ambao wamekimbilia vitongojini na maporini.

Lengo ni kuwa-flush-out once and for all.

Majeshi ya Tanzania yanaingia kwenye kikosi maalum cha SADC ya dharura au SADC emergence force ambacho ndicho chajikusanya kwenye mji wa Pemba.

Kwenye hichi kikosi kuna South Africa (1500 troops), Botswana 300, kisha kuna Tanzania, Angola, Zimbabwe na Lesotho na tayari vikosi 1700 vipo Pemba.

Kwa kuwa magaidi hao hawahodhi mji wowote, mbinu yao kubwa ni ileile ya kushambulia na kukimbia (hit and run attacks) huku wakivamia vijiji na kupora, kuchoma makazi na kuua watu hovyo.

Hivyo hii operesheni hii itakuwa ngumu na huenda ikafikisha miezi mitatu na yalenga kutifua kila kigingi, kuvuruga vichaka na kuchakaza kila aina dalili au uwepo wa kambi zisizo rasmi za magaidi hao.

Rwanda inajisifu kwa kuutwaa mji wa Mocimboa da Praia lakini kwa wachambuzi wa masuala ya usalama wanafahamu kuwa nchi za Marekani (vifaa vya kisasa) na Ufaransa (ujasusi - intelligence gathering) wapo nyuma ya Rwanda bila kujitambulisha rasmi (unoffocially).
 
Majeshi yote ya SADC yakiwemo ya Rwanda na Msumbiji yanajikusanya kabla ya kuanza kampeni yaani offensive dhidi ya magaidi ambao wamekimbilia vitongojini na maporini.

Lengo ni kuwa-flush-out once and for all.

Majeshi ya Tanzania yanaingia kwenye kikosi maalum cha SADC ya dharura au SADC emergence force ambacho ndicho chajikusanya kwenye mji wa Pemba.

Kwenye hichi kikosi kuna South Africa (1500 troops), Botswana 300, kisha kuna Tanzania, Angola, Zimbabwe na Lesotho na tayari vikosi 1700 vipo Pemba.

Kwa kuwa magaidi hao hawahodhi mji wowote, mbinu yao kubwa ni ileile ya kushambulia na kukimbia (hit and run attacks) huku wakivamia vijiji na kupora, kuchoma makazi na kuua watu hovyo.

Hivyo hii operesheni hii itakuwa ngumu na huenda ikafikisha miezi mitatu na yalenga kutifua kila kigingi, kuvuruga vichaka na kuchakaza kila aina dalili au uwepo wa kambi zisizo rasmi za magaidi hao.

Rwanda inajisifu kwa kuutwaa mji wa Mocimboa da Praia lakini kwa wachambuzi wa masuala ya usalama wanafahamu kuwa nchi za Marekani (vifaa vya kisasa) na Ufaransa (ujasusi - intelligence gathering) wapo nyuma ya Rwanda bila kujitambulisha rasmi (unoffocially).

Hamna kitu, Rwanda kashamaliza mchezo, acheni kutaka sifa zisizo na tija. Kama vikosi vya Rwanda vinapata msaada wa US na France si ndio vizuri? Kuna haja gani ya biblia vingine kwenda kupoteza muda wakati US na France sana hela za kuendesha hiyo operation?
 


Mkuu story za vijiwe vya kahawa hizo,majeshi ya SADC yapo mozambique na hata rwanda kabla ya kwenda kule cdf wao alikwenda upanga pale kupata baraka zote

Unaweza kujionyesha Ni wapi nimeandika Chief wa majeshi ya Rwanda hakuja Upanga?

S/Africa,Mozambique,Botswana ziko huko,Zimbabwe inatuma kikosi cha kufanya training huko, Lesotho imetuma wanajeshi huko lkn mpk Sasa vikosi hivyo vya sadc havijafanya operation sehemu yoyote ile,sehemu zote ambazo zimekombolewa hapo Msumbiji(Mocimboa da Praia/Palma/Cabo Delgado) ni majeshi ya Rwanda na Mozambique tu ndio yamefanya operation.

OP hizo Zina Phase 2,Phase ya 1 Kwanza Ni kukomboa maeneo yaliyoshikiliwa ambayo hii imefanikiwa,Phase ya 2 Ni kwenda kuwasaka magaidi huko porini walikokimbilia ambako Ni maeneo yaitwao Mbao.

Nakupa task ndogo tu Niambie majeshi ya Sadc yamekomboa maeneo gani?
 
Jana nilikuwa naangalia mgogoro wa Ethiopia ulivyoanzishwa na Wanasiasa yani sijui hili Bara letu linaelekea wapi yani vita na njaa😕
Wale jamaa wamevurugana aisee na inaonekana kama Kuna genocide inaendelea kimya kimya.Nikikumbuka Waziri mkuu wa Ethiopia alivyoingia kwa mbwembwe mpk akapewa tuzo ya Nobel Ila yanayoendelea sa hivi ni noma.
 
Boss wa Jeshi la Mozambique mpk jana amesema Nchini kwao majeshi yanayopiga operation ni 2 tu Rwanda na Mozambique tu,majeshi ya SADC hakuna yanayo operate nchini humo mpk sasa.
It might be true, kwani vita hivi vinahitaji pesa na Tanzania ilijikita mno kuisaidia Msumbiji kwenye vita vya kupigania uhuru,lakini baada ya Uhuru ikaingia tena Mozambique kupigania Frelimo dhidi ya Renamo,wanajeshi wetu kwa maelfu walipigana tena kwa kipindi kirefu.
Mwisho wa siku Tanzania haifadiki na lolote toka Mozambique .
Lakini pia serikali ya Mozambique ni corrupt ipo huko Maputo lakini huko kaskazini mwa nchi kama Cape del Gardo hakuna kitu pamesahaulika.
 
Si kuna tetesi kuwa anaepigwa vita pale ni Mfaransa dhidi ya Mmarekan ili asichimbe gas? Sasa vita tusioijua isije ikaturudishia vijana wetu kwenye majeneza yenye bendera ya Taifa bila sababu za msingi.
Wakubwa Mara nyingi hawapiganagi kizembe zembe au kutengeneza proxy war Ila hua wanagawana tu ulaji. Utasikia we chukua huko Mozambique mi niachie Congo.
 
Hii ya cdf wa Rwanda kwenda upanga tunaiaminije ndugu

KT PRESS

Gen. Kazura, IGP Munyuza In Tanzania To Discuss Security, Strengthen Ties​

The Rwanda Defence Force (RDF), Chief of Defence Staff (CDS), Gen Jean Bosco Kazura and the Inspector General of Police (IGP) CGP Dan Munyuza are in Tanzania where they held meetings with their counterparts to enhance cooperation between the two countries.
The two heads of the armed forces have been in the East African nation since Sunday, according to the Rwandan Embassy in Dar-es-Salaam, to among other things discuss ways of improving security in the region.

The embassy said the visit is aimed at enhancing cordial relations between the two countries. Gen. Kazura and IGP Munyuza met and held talks with their Tanzanian counterparts on security issues of regional importance.
E1CoOrZXIAQf38O.jpg
RDF CDS Ge. Kazura was welcomed by TPDF in an official ceremony.
On Monday, CGP Munyuza met his Tanzania counterpart, Simon Nyakoro Sirro, the Inspector General of Tanzania Police, with who they discussed common security threats posed by transnational organised crimes.
In 2012, Rwanda National Police (RNP) and Tanzania Police Force signed a memorandum of understanding on security matters in furtherance of the bilateral cooperation between the two forces.

During their meeting, the two Police chiefs discussed bilateral issues relating to crimes, particularly cross-border criminals.

“The objective of the meeting was to reinforce the parties’ cooperation in fighting transnational organized crimes and specifically devise strategies of combating crimes across the border,” a joint communique issued by the two Police heads reads.
The Tanzania IGP said that the two countries share common challenges when it comes to combating crime, hence the need for concerted efforts and cooperation to fight cross border and transnational crimes.

He emphasized the need to work together to enhance security along borders in order to facilitate reduction of cross-border and transnational crimes. He called for effective implementation of the MoU between the two countries.
On his part, IGP Munyuza paid tribute to the former Tanzanian President, Dr. John Pombe Joseph Magufuli who passed on earlier on March 17, 2021, before thanking his Tanzanian counterpart for welcoming the Rwandan delegation and the hospitality extended to them.
E1CoCUoX0AcrAt2.jpg
IGP Munyuza welcomed by TPF.
CG Munyuza stressed the commitment of the RNP and the Rwanda Government to combat transnational organized crimes across the borders between the two countries, pointing out that singlehandedly, there is much that can be achieved compared to when forces are combined.
He further stressed the issues of effective communication, sharing intelligence, joint border operations, joint training, exercises and regular meetings at all levels as part of implementing the Memorandum of Understanding.

During the meeting, two parties reviewed the security situation between Tanzania and Mozambique and its impact on both parties and the region at large and discussed the best strategies to address it as quickly as possible.
The Rwandan and Tanzanian Police forces agreed to enhance effective information and intelligence sharing on terrorism and other transnational crimes associated with terrorism and to strengthen border security.
WhatsApp-Image-2021-05-10-at-22.45.03.jpeg
IGP Munyuza and his Tanzanian counterpart Nyakoro Sirro.
Both countries agreed to cooperate closely on border control and crime prevention along the common border and follow up operations including use of security road barricades in order to minimize movement of suspected terrorists attempting to cross borders.
According to the communique, the two Police forces agree to be conducting joint interviews and interrogations of terror suspects and to exchange fugitives.

They also agreed to establish de-radicalization programs and rehabilitation centres for affected people in two countries through community engagements, among other areas of cooperation.
E1CoTRGXMAYPDl4.jpg
Rwanda and Tanzania armed forces vowed to strengthen cooperation to fight crime and to boost regional security.
 
4 August 2021
Maputo, Mozambique



Chama kikuu cha upinzani RENAMO chahoji katiba kutofuatwa kwa majeshi ya kigeni ya nchi za Afrika kuingia nchini Mozambique. Hoja hiyo imewasilishwa na kiongozi wa upinzani bungeni Bw. Venâncio Mondlane

Nakutaka kikao cha dharura cha Bunge kifanyike ili kijadili hali hiyo Mpya ya majeshi ya nchi kadhaa za kigeni kuingia nchini humo kinyemela bila Bunge kufahamishwa.

RENAMO inasema kuwa katiba ya nchi ya Mozambique haikuzingatiwa ktk suala hilo la kukaribisha majeshi ya kigeni. Ilitakiwa kamati za kudumu tatu za Bunge la Mozambique kuarifiwa kisha kuwakilisha hoja bungeni umuhimu wa kuwepo majeshi ya kigeni nchini humo.

Chama hicho cha RENAMO kimesema hakipingi majeshi ya kigeni kukaribishwa nchini humo, ila utaratibu wa kikatiba wa nchi hiyo lazima uzingatiwe kupitia Bungeni, kwa serikali kwanza kuja mbele ya Bunge na kutoa kusudio la kutangazwa kwa hali ya hatari au vita na hatua hiyo huchukua masaa 24 tu kujadiliwa, kabla ya majeshi ya kigeni kuleta vikosi vyao nchini Mozambique.

Kufuatia mashambulizi ya vikundi vya kigaidi katika jimbo la Cabo Delgado, serikali ya Mozambique imekaribisha majeshi ya kigeni katika jimbo hilo la kaskazini la Mozambique bila kwanza kuitisha kikao cha Bunge cha dharura ambacho ndicho kikao kilichopewa mamlaka kikatiba kusikia haja ya serikali ya Mozambique ikipanga kutangaza hali ya hatari au nchi kuingia vitani.

Renamo calls for respect for the country's constitution​

Renamo, the largest Mozambican opposition party, asked yesterday for the convening of an extraordinary parliamentary session for a debate on the presence of foreign forces in the fight against armed groups in Cabo Delgado province, in the north of the country.
08/04/2021 LAST UPDATE 7:00 AM

1_257936579610ad88fe4590.jpg

Main opposition party took the matter to Parliament © Photo by: DR

"Renamo's position is that we should, in fact, have an extraordinary session, due to the urgency of the matter. The body that represents the people should, in principle, debate all the implications of the entry of foreign forces into Mozambique" , said Venâncio Mondlane, rapporteur of the Renamo bench in Parliament.

For Renamo, the procedure used for the entry of foreign troops in the country did not respect the country's Constitution, defending, therefore, that it should "as soon as possible, normalize and legalize” the process.

It is necessary "quickly to present a concrete proposal on what the Government wants, whether it is a State of Siege or a State of War, and, according to the Constitution, the Assembly of the Republic has 24 hours to pronounce itself", added Venâncio Mondlane.

The Standing Committee of the Mozambican Parliament announced on Tuesday that the three parliamentary benches were unanimous in summoning, for the next session, in October, the Government to provide information on the presence of foreign contingents in the country.

Renamo denied yesterday that it had agreed to schedule the matter for an ordinary session in October, noting that an "emergency situation" cannot be debated "in two or three months' time."

"Renamo's position has always been favorable to external military support, as long as the national legal system is respected", explained the bench.

In addition to Renamo, the Democratic Movement of Mozambique (MDM), the third party, had already criticized the Executive for authorizing the presence of foreign military personnel in the country without informing Parliament.

Source: Jornal de Angola - Notícias - Renamo pede respeito à Constituição do país
 

Mozambique: Assembly Will Debate Foreign Troops - but Only in October​




4 AUGUST 2021
Agencia de Informacao de Mocambique (Maputo)

Maputo — The governing board of the Mozambican parliament, the Assembly of the Republic, its Standing Commission, on Tuesday decided to table for debate at the next full parliamentary sitting the question of foreign military support in the fight against terrorism in the northern province of Cabo Delgado.

The main opposition party, Renamo, had submitted a request for the Standing Commission to call an extraordinary sitting of the Assembly exclusively to discuss the foreign military presence in Cabo Delgado.

However, the Standing Commission decided that the matter could simply be put on the agenda for the next ordinary sitting, which is due to begin in the second half of October.

Renamo had accused President Filipe Nyusi of violating the Constitution by inviting foreign troops into the country without the prior approval of the Assembly. There have been clashes on Mozambican social media as to whether Nyusi did indeed violate the Constitution - but these have become somewhat academic since the first foreign contingent to go into battle against the terrorists, a force of 1,000 men from Rwanda, has enjoyed considerable success.

Mozambican and Rwandan forces have taken the key town of Awasse in Mocimboa da Praia district, and seem poised to advance on the district capital itself, which has been in terrorist hands for over a year. Under these circumstances, nobody wants the Rwandans to withdraw

The spokesperson for the Standing Commission, Alberto Matukutuku, told reporters, that all three parliamentary groups (from the ruling Frelimo Party. Renamo and the second opposition force, the Mozambique Democratic Movement) had agreed to postpone discussion of the presence of foreign troops to the next ordinary sitting - which is over two months away.

Matukutuku said the parliamentary groups had all encouraged the Mozambican defence and security forces to continue defending the country against terrorist aggression.

There was no longer any talk about whether the invitation to the foreign troops had been constitutional. Instead, according to Matukutuku, Frelimo, Renamo and the MDM all expressed their support for the presence of the foreign contingents.

This apparent unanimity did not last long. The Renamo parliamentary group called a press conference on Wednesday morning to denounce Matukutuku's statements. Renamo spokesperson Venancio Mondlane denied there has been any consensus. He said Renamo still wanted an extraordinary sitting of the Assembly, and insisted that the invitation to the foreign forces was illegal.
Mondlane said it made no sense to wait until October to discuss the matter, which he regarded as urgent.

Meanwhile, troops of the Standby Force of the Southern African Development Community (SADC) are beginning to arrive in Mozambique and are expected to total around 3,000. The largest contingent will be 1.495 troops from South Africa.

Doubts about Tanzania's commitment to the anti-terrorist operation were dispelled when a Tanzanian cargo plane (a Yaklov Y8) landed in the Cabo Delgado provincial capital, Pemba, on Sunday to unload vehicles and other military equipment. The details of this equipment have not been made public.

It is hardly coincidental that Tanzanian President Samia Hassan began a state visit to Rwanda on Monday, and the war in Cabo Delgado will certainly have been on the agenda for the talks with her Rwandan counterpart, Paul Kagame.

Journalists have noted heavy military activity at Pemba airport, with the presence of helicopters from the South African, Botswanan and Rwandan air forces.

 
SOMA ZAIDI : UMOJA WA KITAIFA MOZAMBIQUE

 
Lakini pia serikali ya Mozambique ni corrupt ipo huko Maputo lakini huko kaskazini mwa nchi kama Cape del Gardo hakuna kitu pamesahaulika.
Kama Wananchi wa eneo hilo wangeanzisha Rebellion kwa kudai haki zao msingi katika Rasilimali yao nadhani huu mgogoro ungesuluhishwa kidiplomasia ila kwa wao kuruhusu Magaidi waingie na kudai kuwa Msumbiji iwe Taifa la Kiislamu wamepoteza malengo.
 
Back
Top Bottom