Tanzania kupeleka vikosi vyake vya kijeshi Msumbiji

Tanzania kupeleka vikosi vyake vya kijeshi Msumbiji

Umesomeka vizuri mkuu

Vita siku hizi imekuwa ni biashara kubwa, sasa sijui nani atadhibiti vita hii isiwe biashara na uchochoro wa ufujaji wa pesa za Jumuiya ya SADC au kupora maliasili ya nchi inayokwenda kusaidiwa n.k.

Mabunge ya nchi za SADC yawe yanapewa nafasi kuidhinisha majeshi ya nchi zao kwenda kupigana ktk nchi zingine na pia Bunge kupewa nafasi ya mara kwa mara kupata mrejesho wa operesheni za majeshi yao nje ya mipaka ya nchi badala ya kutegemea genge la watu wachache kuidhinisha majeshi kwenda nje kupigana kwa kisingizio cha " Makubaliano ya mkataba wa SADC juu ya ulinzi" ikitokea nchi moja ya SADC ina vita vya wenyewe kwa wenyewe au ikivamiwa na majeshi yasiyo ya SADC.
 
Tanzania na Msumbiji walishaanza ushirikiano tangu mwaka jana kukabiliana na hii ishu. Kwenye kukabiliana na ugaidi kuna mambo mengi na nyanja nyingi, sio kupeleka vikosi vya jeshi tu.

Mozambique and Tanzania sign MoU to tackle insurgency​

Story za MOU unajua hua zinachukua Muda gani mpk kuanza kutekelezeka?
 
Babu ile vita sio movie,TZ kivita tuko kivingine kabisa kwenye utoaji habari,hao wavaa kobazi huko msumbiji walifika tu baada ya kilichowakuta kule amboni tanga na kibiti,na hizo operation zilifanyika hapa kwetu na hakuna kilichotangazwa,halafu ndio maana nikakuambia za vijiwe vya kahawa yan zimdollar wanatuma watu wakafanye training ndani ya uwanja wa vita!ndio nakusikia wewe mkuu hiyo!!
Kwny Training toa neno Hilo weka Instructors.
'On its part, Zimbabwe is sending a team of 304 defence instructors to Mozambique to train Mozambican troops as part of its commitment to the SADC Standby Force Mission.'

Nimekupa task nyepesi tu,nitajie maeneo Sadc iliyoyakamata mpk Sasa hivi huko Msumbiji hauna jibu unaanza tena story za amboni na kibiti.
 
Kwny Training toa neno Hilo weka Instructors.
'On its part, Zimbabwe is sending a team of 304 defence instructors to Mozambique to train Mozambican troops as part of its commitment to the SADC Standby Force Mission.'

Nimekupa task nyepesi tu,nitajie maeneo Sadc iliyoyakamata mpk Sasa hivi huko Msumbiji hauna jibu unaanza tena story za amboni na kibiti.
Cdf wa chigali alikuwepo upanga au akuwepo?

Screenshot_20210811-205423_Twitter.jpg
 


Angalia tarehe ya cdf wa rwanda alipokua TZ then tafuta siku ya jeshi la rwanda lilipoenda msumbiji,hao wameenda msumbiji kwa baraka zetu,JWTZ jeshi lenye heshima yake ukanda huu ila wabongo mnataka hata operesheni za kuua sisimizi zitupiwe mitandao,kaa kwa kujua kichapo heavy kinaendelea huko

Angalia comment yangu no. 58.
 
4 August 2021
Maputo, Mozambique



Chama kikuu cha upinzani RENAMO chahoji katiba kutofuatwa kwa majeshi ya kigeni ya nchi za Afrika kuingia nchini Mozambique. Hoja hiyo imewasilishwa na kiongozi wa upinzani bungeni Bw. Venâncio Mondlane

Nakutaka kikao cha dharura cha Bunge kifanyike ili kijadili hali hiyo Mpya ya majeshi ya nchi kadhaa za kigeni kuingia nchini humo kinyemela bila Bunge kufahamishwa.

RENAMO inasema kuwa katiba ya nchi ya Mozambique haikuzingatiwa ktk suala hilo la kukaribisha majeshi ya kigeni. Ilitakiwa kamati za kudumu tatu za Bunge la Mozambique kuarifiwa kisha kuwakilisha hoja bungeni umuhimu wa kuwepo majeshi ya kigeni nchini humo.

Chama hicho cha RENAMO kimesema hakipingi majeshi ya kigeni kukaribishwa nchini humo, ila utaratibu wa kikatiba wa nchi hiyo lazima uzingatiwe kupitia Bungeni, kwa serikali kwanza kuja mbele ya Bunge na kutoa kusudio la kutangazwa kwa hali ya hatari au vita na hatua hiyo huchukua masaa 24 tu kujadiliwa, kabla ya majeshi ya kigeni kuleta vikosi vyao nchini Mozambique.

Kufuatia mashambulizi ya vikundi vya kigaidi katika jimbo la Cabo Delgado, serikali ya Mozambique imekaribisha majeshi ya kigeni katika jimbo hilo la kaskazini la Mozambique bila kwanza kuitisha kikao cha Bunge cha dharura ambacho ndicho kikao kilichopewa mamlaka kikatiba kusikia haja ya serikali ya Mozambique ikipanga kutangaza hali ya hatari au nchi kuingia vitani.

Renamo calls for respect for the country's constitution​

Renamo, the largest Mozambican opposition party, asked yesterday for the convening of an extraordinary parliamentary session for a debate on the presence of foreign forces in the fight against armed groups in Cabo Delgado province, in the north of the country.
08/04/2021 LAST UPDATE 7:00 AM

1_257936579610ad88fe4590.jpg

Main opposition party took the matter to Parliament [emoji2398] Photo by: DR

"Renamo's position is that we should, in fact, have an extraordinary session, due to the urgency of the matter. The body that represents the people should, in principle, debate all the implications of the entry of foreign forces into Mozambique" , said Venâncio Mondlane, rapporteur of the Renamo bench in Parliament.

For Renamo, the procedure used for the entry of foreign troops in the country did not respect the country's Constitution, defending, therefore, that it should "as soon as possible, normalize and legalize” the process.

It is necessary "quickly to present a concrete proposal on what the Government wants, whether it is a State of Siege or a State of War, and, according to the Constitution, the Assembly of the Republic has 24 hours to pronounce itself", added Venâncio Mondlane.

The Standing Committee of the Mozambican Parliament announced on Tuesday that the three parliamentary benches were unanimous in summoning, for the next session, in October, the Government to provide information on the presence of foreign contingents in the country.

Renamo denied yesterday that it had agreed to schedule the matter for an ordinary session in October, noting that an "emergency situation" cannot be debated "in two or three months' time."

"Renamo's position has always been favorable to external military support, as long as the national legal system is respected", explained the bench.

In addition to Renamo, the Democratic Movement of Mozambique (MDM), the third party, had already criticized the Executive for authorizing the presence of foreign military personnel in the country without informing Parliament.

Source: Jornal de Angola - Notícias - Renamo pede respeito à Constituição do país
Ona wapinzani wengine walivyo wapumbavu!

Yani watu wanakufa hovyo yenyewe yanongelea katiba?
 
Jiulize SADC ilikua wapi kuisaidia Msumbiji tangu 2017 mpk leo?Rais Nyusi amesema wao waliingia agreement na Rwanda na mojawapo ya makubaliano hayo ni khs Security na ndio maana aliwaomba msaada na sasa hivi Zimbabwe,Angola wako na mahusiano poa sana na Rwanda na hata mawaziri wao wa ulinzi walikua kigali muda sio mrefu.

Anaepata tabu sasa hivi ni Afrika kusini maana anaonaga yeye ndie Godfather wa Sadc sasa Rwanda kuongoza hio mission anaumia kishenzi maana anaona role yake ya kuongoza missions mbalimbali inaenda inapotea.
Hata sisi tumeshapoteza role
 
Vikosi viliishaenda zamani tu,

Yaani unataka kuamini kwamba,nchi zote za Sadsc,ziliogopa kutuma vikosi mpaka rwanda iende kwanza?

Pleaseee!!vikosi vya sadc vipo msumbiji kwa muda mrefu,magaidi hao hawakuja jana,wapo tangu mwaka jana,sasa unafikiri nani alikuwa anaweka amani huko msumbiji?!!
Kweli kabisa wamepeleka kimyakimya sasa wameona mambo yanaenda vzr ndo mana wanatangaza!!
 
Mkuu kilichowapeleka Rwanda kule Cabo ni Ruby na watasomba magunia na magunia.
Mkuu lakini Ruby haipo huko kwenye vita ipo upande mwingine kabisa saa ina maana wataacha vita waende kwenye migodi ya ruby?Muntipuez District ilipo ruby na palma ni sehemu mbili tofauti coz palma na maeneo yote waloingia alshababy ni ukanda wa pwani!!
 
Finally Tanzania has entered the Capitalist Geopolitical warfares in Cabo delgado.

Sadly, After Cabo Delgado mtwara is another targeted zone because of Gas
[emoji848][emoji848][emoji848]dah tunaomba isiwe kweli hii kitu ni kusikia tu!!
 
Hivi msumbiji wao hawana jeshi mpaka kutusumbulia majw wetu,sisi show zetu ni za maGoma na maRubavu sasa huko kwa wala mipanya tunafuata nini
[emoji23][emoji28][emoji28][emoji30]mkuu jeshi la msumbiji ni kuvaa gwanda na kutembea na AK-47 basi wamemaliza wakibananishwa wanakula kona yaani serikali ya msumbiji haijali kabisa kuhusu jeshi nilichogundua labda kutokana na vita vya wenywe kwa wenywe vya mda mrefu!!
 
Story za MOU unajua hua zinachukua Muda gani mpk kuanza kutekelezeka?
Huchukua muda ulioainishwa kwenye MOU. Hatua za kukabiliana na tatizo la usalama Msumbiji ziko za aina mbalimbali, sio kupeleka majeshi tu. Kuna kubadilishana taarifa na intelijensia, ndani na nje ya Msumbiji; kuna kuimarisha mipaka, maswala ya kuimarisha ulinzi ili shughuli za kibiashara na kijamii ziendelee, nk.
 
Huchukua muda ulioainishwa kwenye MOU. Hatua za kukabiliana na tatizo la usalama Msumbiji ziko za aina mbalimbali, sio kupeleka majeshi tu. Kuna kubadilishana taarifa na intelijensia, ndani na nje ya Msumbiji; kuna kuimarisha mipaka, maswala ya kuimarisha ulinzi ili shughuli za kibiashara na kijamii ziendelee, nk.
Sawa.
 
[emoji23][emoji28][emoji28][emoji30]mkuu jeshi la msumbiji ni kuvaa gwanda na kutembea na AK-47 basi wamemaliza wakibananishwa wanakula kona yaani serikali ya msumbiji haijali kabisa kuhusu jeshi nilichogundua labda kutokana na vita vya wenywe kwa wenywe vya mda mrefu!!
Candy Candy
 
Mkuu lakini Ruby haipo huko kwenye vita ipo upande mwingine kabisa saa ina maana wataacha vita waende kwenye migodi ya ruby?Muntipuez District ilipo ruby na palma ni sehemu mbili tofauti coz palma na maeneo yote waloingia alshababy ni ukanda wa pwani!!
😄😄😄 Kuna mwingine alisema Kuna Mafuta huko watayaiba akaulizwa hayo Mafuta watayabeba kwny mabegi yao?
 
Back
Top Bottom