Tanzania kupeleka vikosi vyake vya kijeshi Msumbiji

Kwa hiyo hizi taarifa za wao kupambana na kuwasukumia msituni ni propaganda vitani?
 
Yani Rwanda washamaliza mchezo sisi ndio tunaenda mmmh
Sio kweli mkuu, ugaidi huwezi kuumaliza ndani ya mwezi.
Vita ya ugaidi ni ngumu mno kuliko vita nyingine.
Kumbuka magaidi huvaa kiraia na huishi ndani ya jamii na huwezi kuwatambua bali wao wanakutambua.
Tujipe muda.
 
Ile sio conventional warfare ni vita ya machakani! Ambayo kwisha kwake si kihivyo unavyo fikiria!
Watu hawaelewi tu, hii ni vita ngumu kuliko vita yoyote duniani, wafuatilie Afghanistan, Marekani imeikalia muda mrefu wakipambana na magaidi, walipotoa mguu magaidi yapo karibu kuiteka nchi kwa upya.
 
Bila Kutumia Mbinu mbinu Hii ya Medani itakula kwetu!
[emoji116][emoji116]
[emoji1428]"ARDHI INAYO WAKA !" [emoji1377][emoji1360]Ni mkakati wa kijeshi ambao unakusudia kuharibu chochote ambacho kinaweza kuwa na faida kwa adui. Mali yoyote ambayo inaweza kutumiwa na adui Inalengwa. Kujumuisha silaha, magari ya uchukuzi, tovuti za mawasiliano, na rasilimali za viwandani. Na chochote kinacho weza msaidia adui ushindi, kinaweza kulengwa!; pamoja na maduka ya chakula na maeneo ya kilimo, vyanzo vya maji, na hata watu wenyewe.
Yaani kumwaga mafuta msituni kisha kupiga kupiga kibiriti!

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli mkuu, ugaidi huwezi kuumaliza ndani ya mwezi.
Vita ya ugaidi ni ngumu mno kuliko vita nyingine.
Kumbuka magaidi huvaa kiraia na huishi ndani ya jamii na huwezi kuwatambua bali wao wanakutambua.
Tujipe muda.
Kweli kabisa kwa kweli kwa hii vita wajipange Sana wale sio binadamu wa kawaida afu mbaya hawaogopi kifo nyau wale!!
 
Wala nyau kweli, nashangaa watu wanashangilia, waulizwe Nigeria na Kenya
Ila Nigeria hua Ni utopolo Sana,u superpower wao kijeshi kwa Africa lada Ni sababu ya financial muscles zao zinazowafanya kuweza kununua silaha nyingi/nzuri lkn Kule field Ni bure kabisa.

Hii Vita ya ugaidi jeshi la Nigeria limefanya ujinga mwingi sana.
 
Tatizo Nigeria ni:
1. Jeshi sio la kuaminika halina utii
2. Rushwa hadi jeshini wanauzana
3. Ukabila ukanda mkubwa mno
 
Soma uzuri hapo sentensi ya kwanza "Rwanda Forces have allegedly killed 30 insurgents".

Hivyo hiyo haiko sawa.

Kisha hapo chini wanasema, "reports claim the insurgents have retreated towards the Tanzanian border" kwa maana niliyosema kwamba magaidi wamekimbilia misituni.

Hivyo, hizo ni taarifa tu ambazo zinadai kuwepo kwa matukio kama hayo.
 
😄😄😄 Ila JF Kuna ujuaji na ubishi Aisee.

Recovering the territories occupied by the terrorists

The RDF spokesman, Colonel Ronald Rwivanga, presented to the press a positive assessment after five days of military action. A total of 14 terrorists were killed and two localities in the province of Cabo Delgado recaptured by the troops of the Rwandan contingent from 24 to 28 July 2021.

“Ewasse and Afugi are under our control. Operations are continuing and we are advancing towards the localities still in the hands of the rebels,” said Colonel Rwivanga.

During the fighting between the terrorists and the Rwandan military in Mozambique, several weapons were seized, as well as ammunition, medicines, a laptop and documents written in Swahili.

Rwanda sent a contingent of 1,000 people, including 700 military and 300 police, to Mozambique on 9 July to support efforts to restore the authority of the Mozambican state. The Rwandan troops are to carry out combat and security operations, as well as stabilization and security sector reform.

This deployment was requested by Mozambique. It is based on the good bilateral relations between the two countries. The mission of Rwandan troops in the northern province of Cabo Delgado has no time limit.


Gérard Rugambwa
 
Si ujuaji wala ubishi kwani taarifa zote chanzo chake ni RDF.

Mimi nachambua, hivyo nazisoma habari hizo kwa umakini.

Usisahau, humu JF tupo watu wa aina zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…