Tanzania kupeleka wataalam nje ili kuja kuendesha SGR bullet train

7dbc69444b512d8eb9bfd64ae0487515.jpg
Na yenu inaenda na speed gani?
 
We ni mpuzi sana, una argue kama mototo vile , we mwenyewe ndo umenza kuomgelea urubani, nikakuonyesha hata youngest ever captain duniani ana miaka 26 na alianza flight school akiwa 13...

Kama degree ya rail engineering ni 4 years + 1 year industrial attachment. Ukimaliza hapo sasa ndo unaanza kama junior engineer .. Hakuna campuni yoyote itakuandika kama manager au chief engineer mpaka uwe na angalau 4 years experience. Simple logic

Huyu Makame kila siku yeye anakagua Pugu to Soga utadhani Dar to Morogoro inaishia Soga?! Mbona haikagui Ruvu kwala wala Magindu? Haya maigizo ya SGR Progression yataisha lini? Tuonyesheni Mbele zaidi ya Soga jamani lol
 
Hizo ni shida ambazo zitawakumba hata nyinyi hapo mwanzoni mkimaliza sgr yenu.. Hata ethiopia pia imekumbwa na shida hii so far...

Ninachoona probably vitaishia serekali kufanya mkutano na big importers ambapo watajadiliana na kutatua shida zote... Kwa huu mwezi mmoja tangu ianze imebeba container 1,600 pekee... Hii inafaa iwe inabebwa kwa siku biashara ya SGR ikonoga

View attachment 687688

Hata hivyo ukipiga hesabu ukitumia promotional tariff charges ya 25,000 per container hiyo 1,600 containers ni ksh 40 million, ni kidogo lakini that means ikishika itakua biashara kubwa
Umegeuka nabii!! Matatizo ya Ethiopia na Kenya siyo lazima yatokee Tz. Ata BRT kuna baadhi ya miji duniani haijawa na mafanikio ila ya DAR imefanikiwa mpka kupewa matuzo ya kimataifa. Challenge huwaga hazikosekani ila usi seme na yetu itasusiwa kama yenu.

Halafu hiyo yenu na Ethiopia zina kitu in common zote ni chinies [emoji1].
 
We ni mpuzi sana, una argue kama mototo vile , we mwenyewe ndo umenza kuomgelea urubani, nikakuonyesha hata youngest ever captain duniani ana miaka 26 na alianza flight school akiwa 13...

Kama degree ya rail engineering ni 4 years + 1 year industrial attachment. Ukimaliza hapo sasa ndo unaanza kama junior engineer .. Hakuna campuni yoyote itakuandika kama manager au chief engineer mpaka uwe na angalau 4 years experience. Simple logic
Acha ujinga wewe, wewe ulisema kwamba ili uwe expert wa train unahitaji miaka kumi, mimi nikakuambia lete ushahidi kwasababu hata kurusha ndege kubwa ya habiria hufikishi hiyo miaka kumi, sikukuambia unileteee ushahidi wa ndege, mimi nilitaka ushahidi wa train, wewe umeacha train unarukia ndege, anza kwanza kuleta ushahidi wa miaka kumi ya train, ukiweza ndiyo tuhamie kwenye ndege, lete link acha kutoa historia za watu, huyo uliyetoa ni youngest person, haina maana amesoma for the shortest period, sisi tunazungumzia muda wa kujifunza, sio umri wa kujifunza.
 
205kmph hyo ni average wanaojenga badala ya initial average ya 180kmph aliotangaza magufuli siku ya ufunguzi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu naona una wa mix manyang'au. kweli Magufuli aliwaambia waongeza speed zaidi, we maybe in for a shock
 
Acha ujinga wewe, wewe ulisema kwamba ili uwe expert wa train unahitaji miaka kumi, mimi nikakuambia lete ushahidi kwasababu hata kurusha ndege kubwa ya habiria hufikishi hiyo miaka kumi, sikukuambia unileteee ushahidi wa ndege, mimi nilitaka ushahidi wa train, wewe umeacha train unarukia ndege, anza kwanza kuleta ushahidi wa miaka kumi ya train, ukiweza ndiyo tuhamie kwenye ndege, lete link acha kutoa historia za watu, huyo uliyetoa ni youngest person, haina maana amesoma for the shortest period, sisi tunazungumzia muda wa kujifunza, sio umri wa kujifunza.
Wanatumia magar moshi
Atajuaje kuhusu modern train sa???
Unapoteza nguv zako2
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu naona una wa mix manyang'au. kweli Magufuli aliwaambia waongeza speed zaidi, we maybe in for a shock
Siku hyohyo ya ufunguz aliwaambia waongeze zaid
Na akasema watakuwa na wafatiliaji ili wakikimbiza zaid ya intended(average) speed wakamatwe
Mwenye akili kaelewa
 
Acha ujinga wewe, wewe ulisema kwamba ili uwe expert wa train unahitaji miaka kumi, mimi nikakuambia lete ushahidi kwasababu hata kurusha ndege kubwa ya habiria hufikishi hiyo miaka kumi, sikukuambia unileteee ushahidi wa ndege, mimi nilitaka ushahidi wa train, wewe umeacha train unarukia ndege, anza kwanza kuleta ushahidi wa miaka kumi ya train, ukiweza ndiyo tuhamie kwenye ndege, lete link acha kutoa historia za watu, huyo uliyetoa ni youngest person, haina maana amesoma for the shortest period, sisi tunazungumzia muda wa kujifunza, sio umri wa kujifunza.
Rudi kwa comment yangu na usome tena... Mmi nilisema ili uwe expert at anything you need 10years of practice.. Uwe daktari,engineer,rubani,violist...etc... Hii inatokana na research iliofanywa na reknown psychologists... Google "the 10,000 hour rule" provided you don't have talent and you are not a genius and you have the determination of an average person, you will need approximately 10,000 hours of practice to be an expert in your field
 
Siku hyohyo ya ufunguz aliwaambia waongeze zaid
Na akasema watakuwa na wafatiliaji ili wakikimbiza zaid ya intended(average) speed wakamatwe
Mwenye akili kaelewa
Kandarasi ile ile, angle of inclination ile ile, feasibility study and EIA ile ile, pesa zile zile, project proposal and justification report ile ile lakini speed ya persenger na freight ipande kutoka 160km/hr and 120km/hr to over 200km/hr? Siku ya ufunguzi wa ujenzi ambapo design specification zote zimeshachorwa na kukamilika.... How old are you?
 
Hizo ni shida ambazo zitawakumba hata nyinyi hapo mwanzoni mkimaliza sgr yenu.. Hata ethiopia pia imekumbwa na shida hii so far...

Ninachoona probably vitaishia serekali kufanya mkutano na big importers ambapo watajadiliana na kutatua shida zote... Kwa huu mwezi mmoja tangu ianze imebeba container 1,600 pekee... Hii inafaa iwe inabebwa kwa siku biashara ya SGR ikonoga

View attachment 687688

Hata hivyo ukipiga hesabu ukitumia promotional tariff charges ya 25,000 per container hiyo 1,600 containers ni ksh 40 million, ni kidogo lakini that means ikishika itakua biashara kubwa
Hehehe hiyo pesa brt inaitengeneza ndani ya masaa mawili
 
Tofauti ya 120km/hr na 160km/hr ni?
Unafananisha kifo na usingizi Tanzania sgr itakua na fastest trains in Africa zaidi ya South Africa, Morocco, Ethiopia, Kenya, Nigeria, Egypt na whatever, Tanzania sgr itakua state of the art huwezi Kufananisha na mitungi yenu ya moshi
 
160kph will not be the fastest do just do your research
 
Umegeuka nabii!! Matatizo ya Ethiopia na Kenya siyo lazima yatokee Tz. Ata BRT kuna baadhi ya miji duniani haijawa na mafanikio ila ya DAR imefanikiwa mpka kupewa matuzo ya kimataifa. Challenge huwaga hazikosekani ila usi seme na yetu itasusiwa kama yenu.

Halafu hiyo yenu na Ethiopia zina kitu in common zote ni chinies [emoji1].
BRT inaendeshwa na campuni ya kibinafsi...SGR itaendrshwa na kampuni ya serekali ambayo track record yake ni Tazara ambayo ilijengwa 1970 lakini haina tofauti na meter gauge rail yetu ilojengwa 1901...

Hata sisi huku kenya, huduma services zimepewa awards mbali mbali kama tano hivi ikiwemo kushinda award ya UN...nchi kadhaa zimetuma delegation kuja kujifundisha vipi huduma centers zinaganya kazi
httpswww_standardmedia_co_keimagesmondayfezglfkvq6mb3p7jsjqh5550c6d9c6792.jpg
httpspbs_twimg_commediaDO2RxesXkAkUqYB.jpg

Lakini success ya huduma center haimaanishi kila offisi ya serekali iko effective
 
BRT inaendeshwa na campuni ya kibinafsi...SGR itaendrshwa na kampuni ya serekali ambayo track record yake ni Tazara ambayo ilijengwa 1970 lakini haina tofauti na meter gauge rail yetu ilojengwa 1901...

Hata sisi huku kenya, huduma services zimepewa awards mbali mbali kama tano hivi ikiwemo kushinda award ya UN...nchi kadhaa zimetuma delegation kuja kujifundisha vipi huduma centers zinaganya kazi
View attachment 687841 View attachment 687842

Lakini success ya huduma center haimaanishi kila offisi ya serekali iko effective
Wafanyakazi wa BRT mikataba yao wameingia na wizara ya ujenzi nina dogo anafanya kazi hapo. Ila uwekezaji wa mabus umefanywa na private sector.

Halafu TAZARA inavyo endeshwa ni tofauti na reli ya kati. Yenyewe ina siasa nyingi, mfano top wake ana rotate ths tym ni Tz nxt tym ni Zambia ata hivyo bado its not a loss making coy lyk KQ.

The present Reli ya kati its under utilised kwa sababu nyingi ila bado it is doing better than your RVR. Imagine kwa mwezi huu wa January operations are at halt because ya maintainance until next month during the 30 days period Tsh 5 b is the loss is going to be made.. Sasa piga hesabu if it was fully utilised. Hapa its less than 10% of its capacity is used.
 
Back
Top Bottom