Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Na yenu inaenda na speed gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na yenu inaenda na speed gani?
We ni mpuzi sana, una argue kama mototo vile , we mwenyewe ndo umenza kuomgelea urubani, nikakuonyesha hata youngest ever captain duniani ana miaka 26 na alianza flight school akiwa 13...
Kama degree ya rail engineering ni 4 years + 1 year industrial attachment. Ukimaliza hapo sasa ndo unaanza kama junior engineer .. Hakuna campuni yoyote itakuandika kama manager au chief engineer mpaka uwe na angalau 4 years experience. Simple logic
205kmph hyo ni average wanaojenga badala ya initial average ya 180kmph aliotangaza magufuli siku ya ufunguziNa yenu inaenda na speed gani?
Yenu ni speed ya basi lknHihihihihi
Its also fastHihihihihi
Umegeuka nabii!! Matatizo ya Ethiopia na Kenya siyo lazima yatokee Tz. Ata BRT kuna baadhi ya miji duniani haijawa na mafanikio ila ya DAR imefanikiwa mpka kupewa matuzo ya kimataifa. Challenge huwaga hazikosekani ila usi seme na yetu itasusiwa kama yenu.Hizo ni shida ambazo zitawakumba hata nyinyi hapo mwanzoni mkimaliza sgr yenu.. Hata ethiopia pia imekumbwa na shida hii so far...
Ninachoona probably vitaishia serekali kufanya mkutano na big importers ambapo watajadiliana na kutatua shida zote... Kwa huu mwezi mmoja tangu ianze imebeba container 1,600 pekee... Hii inafaa iwe inabebwa kwa siku biashara ya SGR ikonoga
View attachment 687688
Hata hivyo ukipiga hesabu ukitumia promotional tariff charges ya 25,000 per container hiyo 1,600 containers ni ksh 40 million, ni kidogo lakini that means ikishika itakua biashara kubwa
Acha ujinga wewe, wewe ulisema kwamba ili uwe expert wa train unahitaji miaka kumi, mimi nikakuambia lete ushahidi kwasababu hata kurusha ndege kubwa ya habiria hufikishi hiyo miaka kumi, sikukuambia unileteee ushahidi wa ndege, mimi nilitaka ushahidi wa train, wewe umeacha train unarukia ndege, anza kwanza kuleta ushahidi wa miaka kumi ya train, ukiweza ndiyo tuhamie kwenye ndege, lete link acha kutoa historia za watu, huyo uliyetoa ni youngest person, haina maana amesoma for the shortest period, sisi tunazungumzia muda wa kujifunza, sio umri wa kujifunza.We ni mpuzi sana, una argue kama mototo vile , we mwenyewe ndo umenza kuomgelea urubani, nikakuonyesha hata youngest ever captain duniani ana miaka 26 na alianza flight school akiwa 13...
Kama degree ya rail engineering ni 4 years + 1 year industrial attachment. Ukimaliza hapo sasa ndo unaanza kama junior engineer .. Hakuna campuni yoyote itakuandika kama manager au chief engineer mpaka uwe na angalau 4 years experience. Simple logic
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu naona una wa mix manyang'au. kweli Magufuli aliwaambia waongeza speed zaidi, we maybe in for a shock205kmph hyo ni average wanaojenga badala ya initial average ya 180kmph aliotangaza magufuli siku ya ufunguzi
Wanatumia magar moshiAcha ujinga wewe, wewe ulisema kwamba ili uwe expert wa train unahitaji miaka kumi, mimi nikakuambia lete ushahidi kwasababu hata kurusha ndege kubwa ya habiria hufikishi hiyo miaka kumi, sikukuambia unileteee ushahidi wa ndege, mimi nilitaka ushahidi wa train, wewe umeacha train unarukia ndege, anza kwanza kuleta ushahidi wa miaka kumi ya train, ukiweza ndiyo tuhamie kwenye ndege, lete link acha kutoa historia za watu, huyo uliyetoa ni youngest person, haina maana amesoma for the shortest period, sisi tunazungumzia muda wa kujifunza, sio umri wa kujifunza.
Siku hyohyo ya ufunguz aliwaambia waongeze zaid[emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu naona una wa mix manyang'au. kweli Magufuli aliwaambia waongeza speed zaidi, we maybe in for a shock
Rudi kwa comment yangu na usome tena... Mmi nilisema ili uwe expert at anything you need 10years of practice.. Uwe daktari,engineer,rubani,violist...etc... Hii inatokana na research iliofanywa na reknown psychologists... Google "the 10,000 hour rule" provided you don't have talent and you are not a genius and you have the determination of an average person, you will need approximately 10,000 hours of practice to be an expert in your fieldAcha ujinga wewe, wewe ulisema kwamba ili uwe expert wa train unahitaji miaka kumi, mimi nikakuambia lete ushahidi kwasababu hata kurusha ndege kubwa ya habiria hufikishi hiyo miaka kumi, sikukuambia unileteee ushahidi wa ndege, mimi nilitaka ushahidi wa train, wewe umeacha train unarukia ndege, anza kwanza kuleta ushahidi wa miaka kumi ya train, ukiweza ndiyo tuhamie kwenye ndege, lete link acha kutoa historia za watu, huyo uliyetoa ni youngest person, haina maana amesoma for the shortest period, sisi tunazungumzia muda wa kujifunza, sio umri wa kujifunza.
Kandarasi ile ile, angle of inclination ile ile, feasibility study and EIA ile ile, pesa zile zile, project proposal and justification report ile ile lakini speed ya persenger na freight ipande kutoka 160km/hr and 120km/hr to over 200km/hr? Siku ya ufunguzi wa ujenzi ambapo design specification zote zimeshachorwa na kukamilika.... How old are you?Siku hyohyo ya ufunguz aliwaambia waongeze zaid
Na akasema watakuwa na wafatiliaji ili wakikimbiza zaid ya intended(average) speed wakamatwe
Mwenye akili kaelewa
Hehehe hiyo pesa brt inaitengeneza ndani ya masaa mawiliHizo ni shida ambazo zitawakumba hata nyinyi hapo mwanzoni mkimaliza sgr yenu.. Hata ethiopia pia imekumbwa na shida hii so far...
Ninachoona probably vitaishia serekali kufanya mkutano na big importers ambapo watajadiliana na kutatua shida zote... Kwa huu mwezi mmoja tangu ianze imebeba container 1,600 pekee... Hii inafaa iwe inabebwa kwa siku biashara ya SGR ikonoga
View attachment 687688
Hata hivyo ukipiga hesabu ukitumia promotional tariff charges ya 25,000 per container hiyo 1,600 containers ni ksh 40 million, ni kidogo lakini that means ikishika itakua biashara kubwa
Unafananisha kifo na usingizi Tanzania sgr itakua na fastest trains in Africa zaidi ya South Africa, Morocco, Ethiopia, Kenya, Nigeria, Egypt na whatever, Tanzania sgr itakua state of the art huwezi Kufananisha na mitungi yenu ya moshiTofauti ya 120km/hr na 160km/hr ni?
160kph will not be the fastest do just do your researchUnafananisha kifo na usingizi Tanzania sgr itakua na fastest trains in Africa zaidi ya South Africa, Morocco, Ethiopia, Kenya, Nigeria, Egypt na whatever, Tanzania sgr itakua state of the art huwezi Kufananisha na mitungi yenu ya moshi
BRT inaendeshwa na campuni ya kibinafsi...SGR itaendrshwa na kampuni ya serekali ambayo track record yake ni Tazara ambayo ilijengwa 1970 lakini haina tofauti na meter gauge rail yetu ilojengwa 1901...Umegeuka nabii!! Matatizo ya Ethiopia na Kenya siyo lazima yatokee Tz. Ata BRT kuna baadhi ya miji duniani haijawa na mafanikio ila ya DAR imefanikiwa mpka kupewa matuzo ya kimataifa. Challenge huwaga hazikosekani ila usi seme na yetu itasusiwa kama yenu.
Halafu hiyo yenu na Ethiopia zina kitu in common zote ni chinies [emoji1].
Matatu za nairobi zinatengeneza pesa nyingi kuliko btr na daladala zote times 2Hehehe hiyo pesa brt inaitengeneza ndani ya masaa mawili
Wafanyakazi wa BRT mikataba yao wameingia na wizara ya ujenzi nina dogo anafanya kazi hapo. Ila uwekezaji wa mabus umefanywa na private sector.BRT inaendeshwa na campuni ya kibinafsi...SGR itaendrshwa na kampuni ya serekali ambayo track record yake ni Tazara ambayo ilijengwa 1970 lakini haina tofauti na meter gauge rail yetu ilojengwa 1901...
Hata sisi huku kenya, huduma services zimepewa awards mbali mbali kama tano hivi ikiwemo kushinda award ya UN...nchi kadhaa zimetuma delegation kuja kujifundisha vipi huduma centers zinaganya kazi
View attachment 687841 View attachment 687842
Lakini success ya huduma center haimaanishi kila offisi ya serekali iko effective