Tanzania kupeleka wataalam nje ili kuja kuendesha SGR bullet train

Matatu za nairobi zinatengeneza pesa nyingi kuliko btr na daladala zote times 2
Hehehe wewe utakua na pepo, Dar ina population ya million 6 Nairobi ina population ya million 4.???.? Dar ni largest geographically mara 2 ya Nairobi alafu muipite Dar Hehehe labda kwa njaa
 
Actually, nairobi ni ndogo zaidi ya hio, wengi zaidi wanaishi metro region... Nairobi population during night is 3.1 million, during the day its 4.3 million... Thika road alone iko na 100,000 vehicles per day making it the busiest road in east and central Africa
 
Sasa kwa akili yako ni wapi penye busy commuters interactions kati ya 6 million population city na 4 million population city
 
Nchi yenu ina vipambele vya ajabu. Kujenga sgr wakati kuendesha rail ya kawaida iliwashinda mpaka mkawapa wahindi. Mnachofanya ni kujenga ghala ukitegemea mavuno ambayo hata shamba hujasafisha.
 
Dar metro ni 4.4million,,,umetoa wapi hiyo 6M????
Nairobi metro ndio kubwa kwa mbali with 6.7M
 
Nchi yenu ina vipambele vya ajabu. Kujenga sgr wakati kuendesha rail ya kawaida iliwashinda mpaka mkawapa wahindi. Mnachofanya ni kujenga ghala ukitegemea mavuno ambayo hata shamba hujasafisha.
Mbona Kenya rail yenu ili washinda na nyinyi ila bado mkajenga SGR!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bullet at 160km/hr...wenye wanafanya 400km/hr wataiitaje yao???mwenye mada acha ushamba iite tu modern sgr
nasikia kenya wamefilisika kumalizia palipobaki, na wamefilisika kubadilisha mfumo wa kuendeshwa kwa umeme. ni kweli?
 
Back
Top Bottom