๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐—ต๐˜‚๐—ต๐˜‚๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ ๐— ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐— ๐˜„๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐˜‚ ๐˜€๐—ถ๐—ธ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—๐˜‚๐—บ๐—ฎ๐—ฝ๐—ถ๐—น๐—ถ

๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐—ต๐˜‚๐—ต๐˜‚๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ ๐— ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐— ๐˜„๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐˜‚ ๐˜€๐—ถ๐—ธ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—๐˜‚๐—บ๐—ฎ๐—ฝ๐—ถ๐—น๐—ถ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
1_20250905_194459_0000.png


Nchi ya Tanzania itaweza kushuhudia tukio adimu la kupatwa Kwa Mwezi nyakati za usiku Siku ya Jumapili wakati kabla jua kuchomoza.

Dokta Jiwaji mhadhiri mkuu wa Fizikia na mtaalam wa unajimu katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), alielezea tukio hilo litaweza kutokea ambapo Mwezi utaweza kufunikwa na kiza kinene.

2_20250905_194459_0001.png


Mida ya jioni utaweza kushuhudia tukio la Mwezi kuweza kubadilika na kuwa na rangi nyekundu Kwa watu waishio Tanzania wataweza kushuhudia tukio hili bila kutumia kifaa chochote Cha Telescope ๐Ÿ”ญ kupitia macho Yako tu.

Ukikosa tukio hili utaweza kushuhudia Tena Mpaka ifikapo octoba 31 mwaka 2032 baada ya miaka Saba toka sasa ndo utaweza kushuhudia Tena tukio hili adimu. Kumbuka kupatwa Kwa Mwezi Tanzania kutaanzia na mfumo wa penumbra ambapo kivuli kitakua kidogo sana hakionekani kuanzia mida ya 06:28pm jioni.

Itakapo fika 09:12 Mwezi utaweza kupatwa kabisa unakosaje tukio hilo adimu kwenye maisha Yako โœ๏ธ.
 
Back
Top Bottom