Tanzania kuuza umeme nje mipango ya tangu 2014, ilizimikia wapi mbona tupo gizani bado?

Waliona watapata faida kidogo, bora waendelee kuuza majenereta na mafuta ya mitambo pale Ubungo, faida yake ni kubwa.
 
Ungesema. Mtu yoyote akiwa CCM muogope Sana.
Gesi yote hii tuliyonayo Leo hii Kuna mgao wa umeme? Siku hizi mgao wanauita upungufu.
Ogopa Sana MTU mwenye jina la kitoweo au pembejeo.
Muda si mrefu utasikia gesi hakuna.
Maneno yanaweza kukuzwa au kubadishwa bila uhalisia (utaalamu)kwa lengo maalum (hasa pale siasa inapohusika).
 
Utakuwa na mtindio wa akili kuwaamini mashetani wa kijani! Baada ya Shetani; they are next kwa uongo duniani.
 
Kuna jamaa kila nikiongea naye kuhusu ma prof, huwa ananiambia kuwa, prof yeyote ni chizi wa akili! Na kwamba, mkiwa kwenye kikao chochote kitakachohudhuriwa na prof, hamtatoka mapema kwenye kikao, mkifaulu hilo, hamtaelewana mpaka kikao kivunjike na au ukubali tu mawazo yao! Sijawahi kumwamini

Ila iko siku moja nitamwamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…