Muhimbili ni national hospHii na mama ngoma ni hospitali za serikali?
Mama ngoma ni nnHii na mama ngoma ni hospitali za serikali?
Hospitali tz. Ile mwenda zake Agnes masogange alikuwa amelazwa.Mama ngoma ni nn
Shukrani nyingi na pongezi ziwaendee watanzania wote chini ya mzee Ben Mkapa na Brother Jakaya Kikwete...
Mambo yanazidi kuwaka kila kona. Sasa hivi hospital ya Mhumbili imekuwa mkombozi kwa nchi za Afrika. Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Comoros, Malawi, Msumbiji, Congo, Zambia nk. Kimbilio lao kwa sasa ni Muhimbili.
.Bravo my Beloved President JPM.
Bravo my Country Tanzania.
Tatizo lako wewe upo UDAKU oriented, habari za hao akina Mobeto, Wema, Masogange unazifuatilia sana na kuzipa umuhimu sana, hapa sio mahali pake, kuna jukwaa husika nenda kaziweke huko, hapa ni high voltage thread.Hospitali tz. Ile mwenda zake Agnes masogange alikuwa amelazwa.
Si ingelimkomboa tundu lissu mwnzo
Mambo yanazidi kuwaka kila kona. Sasa hivi hospital ya Mhumbili imekuwa mkombozi kwa nchi za Afrika. Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Comoros, Malawi, Msumbiji, Congo, Zambia nk. Kimbilio lao kwa sasa ni Muhimbili.
Wote hao ni zao la CCM.Shukrani nyingi na pongezi ziwaendee watanzania wote chini ya mzee Ben Mkapa na Brother Jakaya Kikwete...
ccm ipi mojawapoWote hao ni zao la CCM.
Miguuwanakimbilia nini?
Zote.ccm ipi mojawapo
Ziko ngapiZote.
Napinga.Ziko ngapi