Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
😀Kuchamba kwingu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀Kuchamba kwingu....
Napinga kuwa wewe ni Mshana Jr .Kuwa jasiri usiwe mwoga kwa kuhamisha magoli
Wewe na huyo Bob wako wote fyekelea mbali.🤔🤔🤔[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124]ajabu la nane la dunia... Mpinge na Bob tuone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unamfahamu ni nani?Wewe na huyo Bob wako wote fyekelea mbali.
Fyekaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unamfahamu ni nani?
Hata mzee baba?Fyekaa.
Napinga.Hata mzee baba?
Muda mwingine mpe sifa zake ana stailiShukrani nyingi na pongezi ziwaendee watanzania wote chini ya mzee Ben Mkapa na Brother Jakaya Kikwete...
Mkuu umesoma uhandisi wa umeme nini ?[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Tatizo lako wewe upo UDAKU oriented, habari za hao akina Mobeto, Wema, Masogange unazifuatilia sana na kuzipa umuhimu sana, hapa sio mahali pake, kuna jukwaa husika nenda kaziweke huko, hapa ni high voltage thread.
Ah wapi acha zako mkuu inclusive economy ipi kwa Tanzania unayoiongelea labda ? Hivi unajua maana ya inclusive economy au unatania ?Ninyi endeleeni kufungua malls na kufurahia visits za Milenia Trump, sisi tunafanya vitu vinavyomgusa mwananchi, Nor wonder Tanzania inaongoza katika Inclusive economy na jirani zetu wanaongoza kuwa the most ruthless economy in Africa.
Tatizo humu JF wenye akili na wendawazimu wote wanafursa sawa ya kuchangia.Ah wapi acha zako mkuu inclusive economy ipi kwa Tanzania unayoiongelea labda ? Hivi unajua maana ya inclusive economy au unatania ?
Poa mimi ni mwendawazimu : Hivi unajua hata ukiwa na darasa la wanafunzi wenye mtindio wa ubongo 54 ukiandaa mtihani ni lazima kilaza mmoja atakuwa wa kwanza sasa unachhongea na hiyo report ya utafiti ni kama hiyo scenario Tanzania ni kilaza aliyepata asilimia tano na wengine ni chini ya hapo , tatizo si kuwa wa kwanza au la tatizo ni unajilinganisha na nani ????Tatizo humu JF wenye akili na wendawazimu wote wanafursa sawa ya kuchangia.
Tanzania leads Africa in an inclusive economy-WEF report
Blah blah mob, ushaambiwa na wataalam zaidi yako, we lead in an inclusive economy, ww unapinga alafu unaandika insha hapa. Bure kabisaPoa mimi ni mwendawazimu : Hivi unajua hata ukiwa na darasa la wanafunzi wenye mtindio wa ubongo 54 ukiandaa mtihani ni lazima kilaza mmoja atakuwa wa kwanza sasa unachhongea na hiyo report ya utafiti ni kama hiyo scenario Tanzania ni kilaza aliyepata asilimia tano na wengine ni chini ya hapo , tatizo si kuwa wa kwanza au la tatizo ni unajilinganisha na nani ????
Ndio maana ukapewa uwezo wa kufikiria , usitake kufungwa uwezo wako wa kufikiria na tafiti tu , hebu rudi kwenye uhslisia wa kiTanzania na uthibitishe kama hiyo Tafiti ina ukweli wowote , watu wengi humu wanaishi kwenye lindi la ukapuku wa kupindukia , unauhakika waTanzania wana opportunities sawa za kuwa na maisha bora ? una jua gap kati ya aliye jacho na asiye kuwa nacho kwa Tanzania ? halafu we una guts za kudeclare uchumi wa Tanzania ni inclusive ?
How dare are you ? , shame on you
HahahahahahahahahahahaPoa mimi ni mwendawazimu : Hivi unajua hata ukiwa na darasa la wanafunzi wenye mtindio wa ubongo 54 ukiandaa mtihani ni lazima kilaza mmoja atakuwa wa kwanza sasa unachhongea na hiyo report ya utafiti ni kama hiyo scenario Tanzania ni kilaza aliyepata asilimia tano na wengine ni chini ya hapo , tatizo si kuwa wa kwanza au la tatizo ni unajilinganisha na nani ????
Ndio maana ukapewa uwezo wa kufikiria , usitake kufungwa uwezo wako wa kufikiria na tafiti tu , hebu rudi kwenye uhslisia wa kiTanzania na uthibitishe kama hiyo Tafiti ina ukweli wowote , watu wengi humu wanaishi kwenye lindi la ukapuku wa kupindukia , unauhakika waTanzania wana opportunities sawa za kuwa na maisha bora ? una jua gap kati ya aliye jacho na asiye kuwa nacho kwa Tanzania ? halafu we una guts za kudeclare uchumi wa Tanzania ni inclusive ?
How dare are you ? , shame on you
Hizo 66 zipo wilaya zipi hapa Tanzania?Unaambiwa ndani ya miaka 50 kumejengwa hospital 77 wilayani, alafu ndani ya mwaka mmoja zimejengwa hospital 67.
Alafu ulivo mchawi mnafiki, unawapongeza makwapa na kikwete waliopiga hela kibindoni.
Nimeamini ww ni mchawi