Tanzania kuwa Donor country kwenye sector ya Afya

Kama serikal itaendelea kuboresha muhimbili haita ishia hapo tu
 
Mkuu umekosea heading,inatakiwa isomeke hivi:Tanzania kuwa donor country katika kuua upinzani!
 
Dah ! Tutaona mengi mwaka huu hivi hawa kenge huwa wanawapa hizo nyadhifa kwa vigezo vipi jamani [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] eti msemaji wa serikali kabisa huyo

shwain kabisa
 
Tatizo lako wewe upo UDAKU oriented, habari za hao akina Mobeto, Wema, Masogange unazifuatilia sana na kuzipa umuhimu sana, hapa sio mahali pake, kuna jukwaa husika nenda kaziweke huko, hapa ni high voltage thread.
Mkuu umesoma uhandisi wa umeme nini ?[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Ninyi endeleeni kufungua malls na kufurahia visits za Milenia Trump, sisi tunafanya vitu vinavyomgusa mwananchi, Nor wonder Tanzania inaongoza katika Inclusive economy na jirani zetu wanaongoza kuwa the most ruthless economy in Africa.
Ah wapi acha zako mkuu inclusive economy ipi kwa Tanzania unayoiongelea labda ? Hivi unajua maana ya inclusive economy au unatania ?
 
Tatizo humu JF wenye akili na wendawazimu wote wanafursa sawa ya kuchangia.
Tanzania leads Africa in an inclusive economy-WEF report
Poa mimi ni mwendawazimu : Hivi unajua hata ukiwa na darasa la wanafunzi wenye mtindio wa ubongo 54 ukiandaa mtihani ni lazima kilaza mmoja atakuwa wa kwanza sasa unachhongea na hiyo report ya utafiti ni kama hiyo scenario Tanzania ni kilaza aliyepata asilimia tano na wengine ni chini ya hapo , tatizo si kuwa wa kwanza au la tatizo ni unajilinganisha na nani ????

Ndio maana ukapewa uwezo wa kufikiria , usitake kufungwa uwezo wako wa kufikiria na tafiti tu , hebu rudi kwenye uhslisia wa kiTanzania na uthibitishe kama hiyo Tafiti ina ukweli wowote , watu wengi humu wanaishi kwenye lindi la ukapuku wa kupindukia , unauhakika waTanzania wana opportunities sawa za kuwa na maisha bora ? una jua gap kati ya aliye jacho na asiye kuwa nacho kwa Tanzania ? halafu we una guts za kudeclare uchumi wa Tanzania ni inclusive ?

How dare are you ? , shame on you
 
Blah blah mob, ushaambiwa na wataalam zaidi yako, we lead in an inclusive economy, ww unapinga alafu unaandika insha hapa. Bure kabisa
 
Poa mimi ni mwendawazimu : Hivi unajua hata ukiwa na darasa la wanafunzi wenye mtindio wa ubongo 54 ukiandaa mtihani ni lazima kilaza mmoja atakuwa wa kwanza sasa unachhongea na hiyo report ya utafiti ni kama hiyo scenario Tanzania ni kilaza aliyepata asilimia tano na wengine ni chini ya hapo , tatizo si kuwa wa kwanza au la tatizo ni unajilinganisha na nani ????

Ndio maana ukapewa uwezo wa kufikiria , usitake kufungwa uwezo wako wa kufikiria na tafiti tu , hebu rudi kwenye uhslisia wa kiTanzania na uthibitishe kama hiyo Tafiti ina ukweli wowote , watu wengi humu wanaishi kwenye lindi la ukapuku wa kupindukia , unauhakika waTanzania wana opportunities sawa za kuwa na maisha bora ? una jua gap kati ya aliye jacho na asiye kuwa nacho kwa Tanzania ? halafu we una guts za kudeclare uchumi wa Tanzania ni inclusive ?

How dare are you ? , shame on you
Hahahahahahahahahahaha
 
Unaambiwa ndani ya miaka 50 kumejengwa hospital 77 wilayani, alafu ndani ya mwaka mmoja zimejengwa hospital 67.
Alafu ulivo mchawi mnafiki, unawapongeza makwapa na kikwete waliopiga hela kibindoni.
Nimeamini ww ni mchawi
Hizo 66 zipo wilaya zipi hapa Tanzania?
Waziri wa viwanda alisema kuwa mpaka sasa kuna viwanda 3000 na zaidi lakini PM kasema kuwa mpaka sasa kuna viwanda 1700 sasa sijui nani mkweli kuliko mwenzake.

Hii awamu mnajitahidi kuongeza namba kweli kweli.
 
Back
Top Bottom