Tanzania kuwa Donor country kwenye sector ya Afya

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887

Mambo yanazidi kuwaka kila kona. Sasa hivi hospital ya Mhumbili imekuwa mkombozi kwa nchi za Afrika. Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Comoros, Malawi, Msumbiji, Congo, Zambia nk. Kimbilio lao kwa sasa ni Muhimbili.
 
Shukrani nyingi na pongezi ziwaendee watanzania wote chini ya mzee Ben Mkapa na Brother Jakaya Kikwete...
 
Bravo my Beloved President JPM.
Bravo my Country Tanzania.
.
IMG-20180921-WA0013.jpg
 
Mambo yanazidi kuwaka kila kona. Sasa hivi hospital ya Mhumbili imekuwa mkombozi kwa nchi za Afrika. Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Comoros, Malawi, Msumbiji, Congo, Zambia nk. Kimbilio lao kwa sasa ni Muhimbili.
Si ingelimkomboa tundu lissu mwnzo
 
Sijaelewa naomba unieleweshwe .Hivi wale maspecialist wengi walioko pale Muhimbili ,kuanzia taasisi ya Moyo na ile ya Mufupa ambao wengi wao walisoma nje ya nchi ; Je ,wamesoma hii miaka miwili tu ya awamu ya 5 au wameibuka tu from no where ?

Nikipata jibu nitajua namna ya kupongeza !
 
Back
Top Bottom