Tupinge kila kitu.
Unaambiwa ndani ya miaka 50 kumejengwa hospital 77 wilayani, alafu ndani ya mwaka mmoja zimejengwa hospital 67.Shukrani nyingi na pongezi ziwaendee watanzania wote chini ya mzee Ben Mkapa na Brother Jakaya Kikwete...
Ninyi endeleeni kufungua malls na kufurahia visits za Milenia Trump, sisi tunafanya vitu vinavyomgusa mwananchi, Nor wonder Tanzania inaongoza katika Inclusive economy na jirani zetu wanaongoza kuwa the most ruthless economy in Africa.Si ingelimkomboa tundu lissu mwnzo
That’s perfect walahi!Bravo my Beloved President JPM.
Bravo my Country Tanzania.
MtumeeeNinyi endeleeni kufungua malls na kufurahia visits za Milenia Trump, sisi tunafanya vitu vinavyomgusa mwananchi, Nor wonder Tanzania inaongoza katika Inclusive economy na jirani zetu wanaongoza kuwa the most ruthless economy in Africa.
Beautiful!Vivaaa JPM 👍🏼 💪🏼 the visionary Leader
Vivaaa Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 the unforgettable
Wote hao ni zao la CCM.
Kumbe imekuuma kuhusu hyo muhumbili yenu unayoisifia..wakati katibiwa nairobi..kw sifa tu..hamjamboNinyi endeleeni kufungua malls na kufurahia visits za Milenia Trump, sisi tunafanya vitu vinavyomgusa mwananchi, Nor wonder Tanzania inaongoza katika Inclusive economy na jirani zetu wanaongoza kuwa the most ruthless economy in Africa.
Dah kumbe miaka yote ulikuwa hujaamini? Kuhusu takwimu za kupikwa sina tatizo... Si unajua uzuri wa mkakasi?Unaambiwa ndani ya miaka 50 kumejengwa hospital 77 wilayani, alafu ndani ya mwaka mmoja zimejengwa hospital 67.
Alafu ulivo mchawi mnafiki, unawapongeza makwapa na kikwete waliopiga hela kibindoni.
Nimeamini ww ni mchawi
Pinga mwenyeweTupinge kila kitu.
Napinga kila kitu.Pinga mwenyewe
Kuwa makini isije kufika mahali ukajipinga mwenyeweNapinga kila kitu.
Ndio tulivyofundishwa na Mbowe hapa ufipa. Hakuna namna.Kuwa makini isije kufika mahali ukajipinga mwenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuwa jasiri usiwe mwoga kwa kuhamisha magoliNdio tulivyofundishwa na Mbowe hapa ufipa. Hakuna namna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshana umegoma kwenda na upepo? . Ingekuwa kupata id humu unafanya mtihani nadhani wachache wangefuzu.