Tanzania kuwa Donor country kwenye sector ya Afya

Tanzania kuwa Donor country kwenye sector ya Afya

Shukrani nyingi na pongezi ziwaendee watanzania wote chini ya mzee Ben Mkapa na Brother Jakaya Kikwete...
Unaambiwa ndani ya miaka 50 kumejengwa hospital 77 wilayani, alafu ndani ya mwaka mmoja zimejengwa hospital 67.
Alafu ulivo mchawi mnafiki, unawapongeza makwapa na kikwete waliopiga hela kibindoni.
Nimeamini ww ni mchawi
 
Si ingelimkomboa tundu lissu mwnzo
Ninyi endeleeni kufungua malls na kufurahia visits za Milenia Trump, sisi tunafanya vitu vinavyomgusa mwananchi, Nor wonder Tanzania inaongoza katika Inclusive economy na jirani zetu wanaongoza kuwa the most ruthless economy in Africa.
 
Bravo my Beloved President JPM.
Bravo my Country Tanzania.
That’s perfect walahi!
.......,,,,,,ni urithi wa wenye haki walahi
Hongera sana Mr President JPM Walahi
 
Wote hao ni zao la CCM.
69FCFC14-E2DC-48C1-BAF0-EB925EB945EE.png
 
Ninyi endeleeni kufungua malls na kufurahia visits za Milenia Trump, sisi tunafanya vitu vinavyomgusa mwananchi, Nor wonder Tanzania inaongoza katika Inclusive economy na jirani zetu wanaongoza kuwa the most ruthless economy in Africa.
Kumbe imekuuma kuhusu hyo muhumbili yenu unayoisifia..wakati katibiwa nairobi..kw sifa tu..hamjambo
 
Unaambiwa ndani ya miaka 50 kumejengwa hospital 77 wilayani, alafu ndani ya mwaka mmoja zimejengwa hospital 67.
Alafu ulivo mchawi mnafiki, unawapongeza makwapa na kikwete waliopiga hela kibindoni.
Nimeamini ww ni mchawi
Dah kumbe miaka yote ulikuwa hujaamini? Kuhusu takwimu za kupikwa sina tatizo... Si unajua uzuri wa mkakasi?
 
Back
Top Bottom