[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli kawashika pabayaNapinga.
Nitapinga hadi hapo kamanda wa anga atakapobadilisha giia kwa mara nyingine. Napinga.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli kawashika pabaya
[emoji23][emoji23][emoji23]Nitapinga hadi hapo kamanda wa anga atakapobadilisha giia kwa mara nyingine. Napinga.
Lakini watanzania hawapati huduma ipasavyo chakula kizuri kwa mgeni watoto watakuja kilicho bakiaSijaelewa naomba unieleweshwe .Hivi wale maspecialist wengi walioko pale Muhimbili ,kuanzia taasisi ya Moyo na ile ya Mufupa ambao wengi wao walisoma nje ya nchi ; Je ,wamesoma hii miaka miwili tu ya awamu ya 5 au wameibuka tu from no where ?
Nikipata jibu nitajua namna ya kupongeza !
Kwani Mkapa na kikwete walikuwa CHAUMA?Unaambiwa ndani ya miaka 50 kumejengwa hospital 77 wilayani, alafu ndani ya mwaka mmoja zimejengwa hospital 67.
Alafu ulivo mchawi mnafiki, unawapongeza makwapa na kikwete waliopiga hela kibindoni.
Nimeamini ww ni mchawi
Siyo ujanja kijana. You need to dance with the music. Sasa ubaleta michezo ya vanga kwenye mdumange!! Why don't you concentrate kwenye jukwaa la siasa!! Maana kwa sasa jukwaa hilo halipo tofauti na umbea.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli kawashika pabaya
Viva magufuli
Mambo yanazidi kuwaka kila kona. Sasa hivi hospital ya Mhumbili imekuwa mkombozi kwa nchi za Afrika. Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Comoros, Malawi, Msumbiji, Congo, Zambia nk. Kimbilio lao kwa sasa ni Muhimbili.
.Siyo ujanja kijana. You need to dance with the music. Sasa ubaleta michezo ya vanga kwenye mdumange!! Why don't you concentrate kwenye jukwaa la siasa!! Maana kwa sasa jukwaa hilo halipo tofauti na umbea.
Ujuaji mwingi mbele kiza.
i think hizo hospital ndio tenda zimeanza kutangazwa mwezi wa saba katafute you tube ya millard ayo mh jafo aliongea ivoHizo 66 zipo wilaya zipi hapa Tanzania?
Waziri wa viwanda alisema kuwa mpaka sasa kuna viwanda 3000 na zaidi lakini PM kasema kuwa mpaka sasa kuna viwanda 1700 sasa sijui nani mkweli kuliko mwenzake.
Hii awamu mnajitahidi kuongeza namba kweli kweli.